Mwanza: Benki yavamiwa

Mwanza: Benki yavamiwa

Ni mazoezi ya kushtukiza ya kupambana na ugaidi. Mleta uzi amekurupuka nadhani alikuwa Long call!
 
hakuna kitu, sisi maafande tupo kwenye simulation exrcise kama vile tumevamiwa na tunajihami sisi wenyewe ndani ya dk 15 m23, alshabab, nk tunawadaka kama njiwa pori vile.
 
Back
Top Bottom