Mwanza, shinyanga na geita. Hongereni sana wenye nchi yenuhahha mbiti kabila kubwa wewe !tupo mikoa 3


Mwanza, shinyanga na geita. Hongereni sana wenye nchi yenu![]()
Pale jirani si kambi ya jeshi huyo ngosha kapitaje?!Wasukuma washamba sana huyo atakua mkazi wa Kayenze au Igombe sasa baada ya kukosa usafiri wa basi la digidigi kaamua kuchapa lapa na kukatiza uwanjani kama shortcut anyway R.I.P mgonga ndege
Wasukuma washamba sana huyo atakua mkazi wa Kayenze au Igombe sasa baada ya kukosa usafiri wa basi la digidigi kaamua kuchapa lapa na kukatiza uwanjani kama shortcut anyway R.I.P mgonga ndege
Kambi ipo mbali kidogo ,ukiwa unatoka huku ilemela kuna kauwazi pale karibu na apron so mtu anaweza akapita akavuka akaendelea na safariPale jirani si kambi ya jeshi huyo ngosha kapitaje?!
Nilijua tuu ndezi wewe.lazima utaje usukumaWatu walivyo mandezi watasema tatizo usukuma.
RIP
RIP mgonga ndege!
Tabora mmevamia tuu wenye mkoa wao ni wanyamwezi.hhaha mwenye nchi yamemshinda ovyooo! usisahau na tabora mamy
Usishangae kusikia marehem anatokea buhongwaKambi ipo mbali kidogo ,ukiwa unatoka huku ilemela kuna kauwazi pale karibu na apron so mtu anaweza akapita akavuka akaendelea na safari
i mean tunaingiliana (kusikilizana)Tabora mmevamia tuu wenye mkoa wao ni wanyamwezi.
Labda alitaka kucheza kama akina shoziniga kwenye komando johnHuyu shupavu alifuata nini kwenye runway?
haaaaaaaaaaaaaaLabda alitaka kucheza kama akina shoziniga kwenye komando john
Tena kama bajeti ni ndogo unaweza kujenga upande mmoja tu hadi juu huko. Inatosha kum discourage mwenda kwa miguu. Apumzike kwa amaniTuna JKT na tunao Wafungwa hapa Mwanza. Hawa wote wanashughuli gan kwenda kujenga uzio mwanza airport. Mbona wenzao JKT kule Arusha mererani wanapiga kazi kuzunguka machimbo?