Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 3,884
- 4,121
uzoefu unaonyesha watu weusi wengi huwa na uwazi ktk sehemu ya mpangilio wa meno yao (mwanya) tofauti na jamii nyingine zilizopo. je hii husababishwa na nini hasa ?
uzoefu unaonyesha watu weusi wengi huwa na uwazi ktk sehemu ya mpangilio wa meno yao (mwanya) tofauti na jamii nyingine zilizopo. je hii husababishwa na nini hasa ?
short and clear, hongera mkuuSiyo kweli jamii ya binandamu wote wana mwanya ila jamii ya watu waliondelea kama Wazungu na Waasia kama Wajapani huwa mtoto anapoanza kuota meno na kuonyesha dalili ya meno kuacha nafasi (mwanya) huwa daktari wa meno anauziba kwa kifupi kwa jamii zilizoendelea wanauchukulia mwanya kama tatizo la meno ambalo likiachwa husababisha meno kulegea kwakuwa meno ni lazima yashikamane na ndiyo maana huwezi kuona Mzungu au Mjapani ana Mwanya, kwa kuwa wanautibu na wala siyo urembo kama kwetu bali ni matatizo ya mpangilio wa meno!
Siyo kweli jamii ya binandamu wote wana mwanya ila jamii ya watu waliondelea kama Wazungu na Waasia kama Wajapani huwa mtoto anapoanza kuota meno na kuonyesha dalili ya meno kuacha nafasi (mwanya) huwa daktari wa meno anauziba kwa kifupi kwa jamii zilizoendelea wanauchukulia mwanya kama tatizo la meno ambalo likiachwa husababisha meno kulegea kwakuwa meno ni lazima yashikamane na ndiyo maana huwezi kuona Mzungu au Mjapani ana Mwanya, kwa kuwa wanautibu na wala siyo urembo kama kwetu bali ni matatizo ya mpangilio wa meno!
Aah... Afrika bara langu najivunia Afrika! He jamani..?! kumbe mwanya ni ugonjwa...?!... Akicheka ana mwanyaaah x2... viva Afika
Mi naona tatizo ni baadhi ya makabila mengi ya kiafrika kupenda kutengeneza upenyo katikati ya meno, Mwenyezi Mungu akaona isiwe taabu wengi wao wakapewa mwanya tuka uumbaji wao! Mliobaki endeleeni kung'oa jino moja moja ama la chini au la juu!uzoefu unaonyesha watu weusi wengi huwa na uwazi ktk sehemu ya mpangilio wa meno yao (mwanya) tofauti na jamii nyingine zilizopo. je hii husababishwa na nini hasa ?
Wamakonde wanang'oa kabisa menouzoefu unaonyesha watu weusi wengi huwa na uwazi ktk sehemu ya mpangilio wa meno yao (mwanya) tofauti na jamii nyingine zilizopo. je hii husababishwa na nini hasa ?
huo ni ugonjwa au ungependa tuite ulemavu?Ni wapi nimesema mwanya ni Ugonjwa? Unaelewa kwanza maana ya Ugonjwa tuanzie hapo!