CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
JPM huyu mama tunamlilia Tanga alikuwa mfano wa kuigwa na wanawake wenzake kuwa jasiri na kufanya kazi.Wanawake watakata tamaa kama mabo yenyewe ndiyo haya. Tafakari, chukua hatua
JPM huyu mama tunamlilia Tanga alikuwa mfano wa kuigwa na wanawake wenzake kuwa jasiri na kufanya kazi.Wanawake watakata tamaa kama mabo yenyewe ndiyo haya. Tafakari, chukua hatua
Wanaomfahamu vizuri huyu mama ni waalimu! Alikuwa naibu WAZIRI wa ELIMU kwa muda wa kutosha na walijuta kumfahamu!Huyu mama kwakweli ameniuma sana japo sina uhusiano nae wowote ule, alikuwa mwanamama wa shoka
JPM huyu mama tunamlilia Tanga alikuwa mfano wa kuigwa na wanawake wenzake kuwa jasiri na kufanya kazi.Wanawake watakata tamaa kama mabo yenyewe ndiyo haya. Tafakari, chukua hatua
.dah ya juveee/?we mkali sana.nimecheka mbavu sinaUmri vipi? manake JPM hataki kutumia msuli 2020 kama ilivyokuwa 2015, game anataka aiue kipindi cha kwanza mtu awe kasha chezea kitasa mambo ya pushap hayatakuwepo tena. Sub muhimu sana wakati huu ukiwapeleka extra time yatakukuta ya Juve.
Wewe ni Mwanaidi nini? Hakuwa Na jipya. Muda wake umepita acha vijana tujimwaeJPM huyu mama tunamlilia Tanga alikuwa mfano wa kuigwa na wanawake wenzake kuwa jasiri na kufanya kazi.Wanawake watakata tamaa kama mabo yenyewe ndiyo haya. Tafakari, chukua hatua
Nana unalia lia kibarua kimeota nyasi?jitahidi tu maisha ndiyo yalivyo utayazoea tuJPM huyu mama tunamlilia Tanga alikuwa mfano wa kuigwa na wanawake wenzake kuwa jasiri na kufanya kazi.Wanawake watakata tamaa kama mabo yenyewe ndiyo haya. Tafakari, chukua hatua
Mkuu kama ni mama wa shoka kwanini alalamike si aanze kupasua kuni na kuuza?siyo wote wenye uwezo wa kutumia gesi au mkaaHuyu mama kwakweli ameniuma sana japo sina uhusiano nae wowote ule, alikuwa mwanamama wa shoka
Ccm ni ileile tu hakuna jipya hapoWanaomfahamu vizuri huyu mama ni waalimu! Alikuwa naibu WAZIRI wa ELIMU kwa muda wa kutosha na walijuta kumfahamu!
Nyie Tanga amekuja juzi tu hajamjua bado!
Ukweli ni kwamba anaweza kuwa mpika futari mzuri lakini hawezi kwenda na kasi ya "HAPA KAZI TU"