Mwanga wa smartphone huathiri usingizi?

Akotia

Senior Member
Dec 16, 2016
138
250
Habari zenu?

Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu ,mimi ni mtumiaji mzuri wa smartphone na kwa kujichunguza mwenyewe nimehitimisha kua mwanga wa smartphone unaathiri sana upatikanaji wa usingizi wangu.

Nikiwa sina smartphone nakua nalala on time na nikiingia kitandani haichukui mda nishapata usingizi.hata mchana nikitaka kulala nalala bila kuutafuta usingizi.

nikiwa na smartphone mda mwingi hua naitumia,kuna mabadiliko nayaona tofauti na nikiwa sina.
Kwa usiku
  • hua nachelewa kulala sababu ya kuperuzi peruzi na hata nikiamua kulala hua nachelewa kupata usingiz,yaani naweka chini simu mida mibovu +nachelewa kupata usingizi.
Kwa mchana
  • mchana pia nikiwa na smartphone hua silali hata nikijilazimisha tofauti na nikiwa sina smartphone,usingizi wa mchana unakua adimu hata nikiutafuta.
Nadhani hili tatizo sitakua nalo peke yangu.
 

Mzee23

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
653
1,000
Ndivyo ilivyo mkuu, unaweza kukesha unachat. SABABU ni kuwa smart zinatuma mionzi inayopenya hadi ktk ubongo na kuuzia ubongo kumwaga homoni iitwayo melatonin inayohusika na usingizi hivyo ubongo unaendelea kujizuia ukijua bado hujalala
 

Akotia

Senior Member
Dec 16, 2016
138
250
Ndivyo ilivyo mkuu, unaweza kukesha unachat. SABABU ni kuwa smart zinatuma mionzi inayopenya hadi ktk ubongo na kuuzia ubongo kumwaga homoni iitwayo melatonin inayohusika na usingizi hivyo ubongo unaendelea kujizuia ukijua bado hujalala
kwahiyo zinatuathiri kidogo kidogo ,kweli tutafika uzeeni vijana wa sasa iv kweli?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom