Mwanga kwenye TV

Mwanga kwenye TV

Nangose 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,201
Reaction score
6,777
Wakuu, hii TV yangu naona mwanga(blightness) wake mdogo. Nimecheck hapo naona ipo 50%.. So nataka niongeze japo ifikie 75ili niinjoi kuona vizuri.. yaan picha zingae Ila kinachoniletea ugumu siwezi kufika hapo kwenye option ya blightness yaan hiyo feature imetiwa kivuli.
Nifanyaje wakuu..?
IMG_20241123_130805_987.jpg
 
Angalia kama umeset adaptive brightness kama ipo on weka off ili kufanya manually
 
Back
Top Bottom