MWANDUMI MWAKATOBE: Magufuri anafanya mabaya zaidi ya kikwete

bne

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,672
2,006
Akihojiwa na redio DW mchambuzi wa sasa nchini Tanzania amesema kuwa raisi anafanya mambo mabaya zaidi kuliko ilivyokua awamu ya kikwete.
Amesema kuwa raisi magufuri ameonyesha udhaifu makubwa ktk utendaji kazi wake,akionyesha wazi upendeleo, ubabe na ukabila.
Akizungumzia mabadiriko yaliyofanyika ya mawaziri, amesema kuwa anashangaa waliopaswa kufukuzwa ndiyo wanapewa nafasi. Kwake yeye anasema hayo siyo mabadiriko Bali ni kituko. Amesema kuwa sasa raisi anaogopa hadi kivuli chake na yamefanyika hayo ili kumbeba mtu asietakiwa Makonda.
 
Back
Top Bottom