Mwandosya"za umma", Kikwete "za IPTL", iwapi serikali?

Mwandosya"za umma", Kikwete "za IPTL", iwapi serikali?

naonambali

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
32
Reaction score
17
Kama RAIA niko njia panda pale rais na waziri ktk ofisi ya rais wanapotofautiana hadharani na kuonekana kawaida.
 
Hii kwa ccm ni sawa kabisa mkuu!
ccm =Ebola epuka
 
Siku moja nilianzsha uzi hapa kuhsu msimamo wa prof. Mods walfta.sasa watu waseme nan mkweli hapa kati ya hao maprofesa wawili!!
 
Ripoti na nyaraka zote zipo mitandaoni, soma uelewe. Kusubiri mtu fulani aseme ni dalili ya uvivu.
 
Kama RAIA niko njia panda pale raisi na waziri ktk ofisi ya raisi wanapotofautiana hadharani na kuonekana kawaida.
Hapo mmoja ni mzalendo na mwingine fisadi papa...majibu yanajieleza
 
Kwa yeyote Yule mwenye akili anayeweza kuelewa maana ya Escrow Account hiyo Pesa ni ya Umma mpk hapo tutakapopewa report inayoonyesha kuwa mgogoro kati ya Tanesco na IPTL kuhusu Capacity Charges umeisha.
Kama huo mgogoro uliopelekea kufunguliwa hiyo account haujaisha basi aliyetoa hizo Pesa ni Mwizi full stop
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kama RAIA niko njia panda pale raisi na waziri ktk ofisi ya raisi wanapotofautiana hadharani na kuonekana kawaida.
Kama ulimsikiliza vizuri Mwandosya Fedha ni za Umma na TENA kama ulimsikiliza vizuri Kikwete Fedha ni za Umma. JK amelithibitishia taifa kama RAIS kwamba mgogoro wa Tanesco na IPTL haujaSULUISHWA. Maneno mengine yote ilikuwa ni mistari tu ujumbe ni kwamba SULUHISHO BADO!!! so fedha zitarudi hata kama yeye hatokuwepo madarakani ZITARUDI.........!
 
Nikiona mtu kama wewe bado unabishania kuwa uma au siyo umma najua wewe tahila pasipo shaka make ukweli umeelezwa vema ukichoka kuongopewa unaweza kusoma hata wewe ripoti ya CAG inajieleza vema.
 
Tatizo langu sio kuelewa yupi anasema kweli, Ila ni wao kutofautiana and nothing happens
Kwahiyo watu wakitofautiana na wewe akili yako inaganda kufanya kazi? Mwandosya umeme umepungua kichwani.
 
Hapo mmoja ni mzalendo na mwingine fisadi papa...majibu yanajieleza

Aliyekuwa MZALENDO ajitokeze kuwa yeye ndiye mkweli. Ila huyu aliyepata ya CHINa, huenda akili inachemka sana. Naomba kujuzwa.
 
Nikiona mtu kama wewe bado unabishania kuwa uma au siyo umma najua wewe tahila pasipo shaka make ukweli umeelezwa vema ukichoka kuongopewa unaweza kusoma hata wewe ripoti ya CAG inajieleza vema.

Akili ya kuambiwa changanya na yako.
 
Mwenye digrii ya CHINA ndiye mshindi, una la kuongezea?:tonguez:
 
Wadau naona mada yangu haijaeleweka, nahitaji tujadili nini ilipaswa tokea waziri na raisi wanapotofautiana hadharani. Kwa mfano nilizani raisi alipaswa mfukuza kazi waziri au waziri kujiudhru kwa kutangaza msimamo tofauti na bosi wake. Tujadili kwa uelekeo huo tafadhali na sio kama ni za uma au LA.
 
Back
Top Bottom