Mwandosya"za umma", Kikwete "za IPTL", iwapi serikali?

Mwandosya"za umma", Kikwete "za IPTL", iwapi serikali?

Siku moja nilianzsha uzi hapa kuhsu msimamo wa prof. Mods walfta.sasa watu waseme nan mkweli hapa kati ya hao maprofesa wawili!!

Ndiyo hapo uone tofauti ya Profesa wa Ukweli na Profesa wa KICHINA.Huku Mwanza tuna mameya wa wawili wa kichina ni shida kama huyo profesa wa kichina.
 
Kwahiyo watu wakitofautiana na wewe akili yako inaganda kufanya kazi? Mwandosya umeme umepungua kichwani.
ndege wafananao huruka pamoja-Usituambie baraza letu la mawaziri na mwenyekiti wao ndo lipo hivi.
 
Yule mzee asiye na wizara toka apate ile dozi ya ule ugonjwa amekuwa mtu wa kustukastuka na kuropoka,mpuuzeni.
 
JK ndo mwongo ameamua kutetea wezi wenzake ccm
 
Tupige kura hapa wangp wanasapoti ya
Mwandsya na wangapi ya jk.matokeo yataonyesha nani umeme umepungua kichwani btn the 2.
 
Kwa utaratibu wa kawaida, mwandosya amekosa adabu mbele ya rais anatakiwa kujiuzuru, japo kaongea ukweli.
 
Tatizo langu sio kuelewa yupi anasema kweli, Ila ni wao kutofautiana and nothing happens
Kwahiyo watu wakitofautiana na wewe akili yako inaganda kufanya kazi? Mwandosya umeme umepungua kichwani.
 
Katika wawili hawa mmoja aliongea kulinda maslahi ya taifa na mwengine aliongea kulinda maslahi ya kundi la mafisadi iwe ni kwa maslahi au ujinga jambo ambalo sidhani kama ktk public kama hii ya leo dunia imekua kijiji mtu tena mkubwa amtete fisadi burebure haiwezekani, ushauri wangu watanzania imefika mahali tuseme basi imetosha kwani siku hizi hata watoto wadogo hawadanganyiki kirahisi hivyo . TUKOMESHE UHARAMIA HUU vinginevyo historia itatuandika vibaya na ukweli hauwezi kuwa uongo hata siku moja,
 
Back
Top Bottom