Mwandosya bado ajikongoja

Mwandosya bado ajikongoja

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
1,241
Reaction score
253
Mark mwandosya na mwanawe emmanuel

mwandosya.jpg
 
Ni dawa ila ni ngumu kumeza.
 
Lowassa ana laani kwa nini jamaa kapona?
 
dah........... hii ni habari mbaya sana kwa baadhi ya wanasiasa wetu :ballchain:
 
GT ana ujasiri wa ku-conclude haraka namna hii?!, lakini kuna another school of thught kuwa wanamtandao hawataki kuridhiwa na mtu mwindine bali mtandao wao udumu madarakani- lowasa being exclissive, so Loawasa naye anafanyiwa intimidation ili asifike mahali pale, wont it be right?!, GT; prove this thought otherwise.
Lowassa ana laani kwa nini jamaa kapona?
 
GT ana ujasiri wa ku-conclude haraka namna hii?!, lakini kuna another school of thught kuwa wanamtandao hawataki kurithiwa na mtu mwindine bali mtandao wao udumu madarakani- lowasa being exclissive, so Loawasa naye anafanyiwa intimidation ili asifike mahali pale, wont it be right?!, GT; prove this thought otherwise.
Lowassa ana laani kwa nini jamaa kapona?
 
Watch Nchimbi very closeley now that he managed to fake his PH.D from Mzumbe!! He is also positioning himself for the ultimate prize!
 
nipate hata kazi ya kumbebea huo mfuko wa rambo
sijui ndani wanawekaga nini.
 
kwisha kazi yake..bado yule anyepukutika nywele...hahaaa chezea mwamba wa kaskazini wewe
 
kwisha kazi yake..bado yule anyepukutika nywele...hahaaa chezea mwamba wa kaskazini wewe

hilo nalo ni neno
mtu afunge safari kusali nigeria hivi hivi tu
kwani tz majumba ya ibada yamekwisha.
 
Magamba watatafunana mpaka waishe.....!!!:A S-coffee:
 
Back
Top Bottom