Kwani wakati bi kiroboto anawatoa UKAWA bungeni hakujua kuwa kuna ugeni wa rais unatarajiwa wa kuvunja bunge!? Mwambieni bi kiroboto hatudanganyiki Watanzania wengi tumefunguka! Mbaya zaidi kauli za wapinzani hususan Ukawa zina mwangwi mkubwa! Tunajua wazi kuwa John Cheyo, Shibuda, Leticia Nyerere, Augustino Mrema, Said Arfi hawa siyo wapinzani wanatumia nguvu kubwa kutupotosha! Halafu mimi nachukizwa na hao wanaotumia jina la John halafu ni wasaliti, wenye jina hilo wengi huwa hawana matabia hayo kokote waliko iwe ccm au upinzani!