Hivi Kisheria ni nani mwenye Mamlaka ya kutangaza Kujiuzulu kwa Waziri???

Je Katiba na Sheria za Tanzania zinasema DIRA ya Mtanzania ndio litatangaza Kujiuzulu kwa Waziri ?

Vp Ubunge nao atajiuzulu pia kama ni sababu za Kiafya!!!! na Ujumbe wa NEC je?

mtu mwenye akili atajiuliza maswali haya...hataanza kuhusiha swala hili na mbio za 2015.
Elewa habari vizuri!hajajiuzulu ila anataka kufanya hivyo kwa ajili ya matatizo ya afya yake!upo!Mwandosya hajajiuzulu, ni propaganda za watu wenye agenda zao, Ikulu wangetoa statement na siyo "Dira"
Dira Ya mtanzania= clouds fm = entertainment media= NOT RELIABLE SOURCE
Jaman nimesikia kuwa wazili wa maji na umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya amemuandikia barua JK ya kuomba kujiuzulu nafasi yake.
Mwenye data kamili atumwagie ukweli wa jambo hili.
Source: Dira ya mtanzania.
Mwandosya hajamuandikia rais...wewe sasa elewa hiyo..kama nilivyosema dira inapotosha..umesoma dira? dira limesema ameandika barua ya kujiuzulu...ni uongo...anaendelea na matibabu na atarudi akimaliza matibabu. Anaendelea vizuri.Elewa habari vizuri!hajajiuzulu ila anataka kufanya hivyo kwa ajili ya matatizo ya afya yake!upo!

Kwa habari nilizopata ni kuwa Mh waziri mwenyewe ameshituka kupata habari hizi za kua kaandika barua ya kujiuzulu. so inaonekana hii habari si ya kweli
Sijawahi kusikia Mwandosya anaumwa, ni juzi tu mwezi wa nne. Mh Chiza hayuko tena Maji, yuko Kilimo. Muwe mnafanya home work kwanza kabla ya kuchangiatangu ateuliwe kuwa waziri amekuwa mgonjwa muda wote boraapumzike amwachie Eng. Chiza, ikngawa nae siyo mzima sana
Dira ya Mtanzania ndio msemaji wa Ikulu siku hizi?Jaman nimesikia kuwa wazili wa maji na umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya amemuandikia barua JK ya kuomba kujiuzulu nafasi yake.
Mwenye data kamili atumwagie ukweli wa jambo hili.
Dira ya Mtanzania imekua msemaji wa Ikulu?
Source: Dira ya mtanzania.
Dira ya Mtanzania chini ya kanjanja Charles Mulinda lini ikawa reliable source jamani? Tunasubiri official announcement kutoka Ikulu.
Tunachojua Prof. bado yupo kwenye matibabu India na anasumbuliwa na tatizo la kansaya damu (Leukamia). Tunamuombea afya njema kama binadamu yeyote na si kufurahia mwenzio anapopigania uhai wake.
He was not that bad guy wanajamvi!
tangu ateuliwe kuwa waziri amekuwa mgonjwa muda wote boraapumzike amwachie Eng. Chiza, ikngawa nae siyo mzima sana
Nashangaa sana kwa nini huyu mbunge wa Arumeru *magharibi* naye hajajiuzuru ubunge kwani tangu achaguliwe mwaka jana hata hakuapishwa na hajawahi kuhudhuria kikao chochote cha bunge.
Sishangai wala simpingi Mwandosya,Duhh, ngoja kwanza, Isije ikawa ile ya Makufuli.
Give the guy a break he is actually very sick and needs our prayers at this time.Kama ni kweli basi amesoma alama za nyakati...