Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 142
Jaman nimesikia kuwa wazili wa maji na umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya amemuandikia barua JK ya kuomba kujiuzulu nafasi yake.
Mwenye data kamili atumwagie ukweli wa jambo hili.
Source: Dira ya mtanzania.
nasikia ni kwa sababu ya serikali dhaifu ya mkweleee na afya yake!
SISI MAGAMBA TUNASEMA ANATAFUTA UMAARUUFU HUYU!
Jaman nimesikia kuwa wazili wa maji na umwagiliaji Prof. Mark Mwandosya amemuandikia barua JK ya kuomba kujiuzulu nafasi yake.
Mwenye data kamili atumwagie ukweli wa jambo hili.
Source: Dira ya mtanzania.
Dira Ya mtanzania= clouds fm = entertainment media= NOT RELIABLE SOURCE
Duhh, ngoja kwanza, Isije ikawa ile ya Makufuli.
Dira ya Mtanzania chini ya kanjanja Charles Mulinda lini ikawa reliable source jamani? Tunasubiri official announcement kutoka Ikulu. Tunachojua Prof. bado yupo kwenye matibabu India na anasumbuliwa na tatizo la kansaya damu (Leukamia). Tunamuombea afya njema kama binadamu yeyote na si kufurahia mwenzio anapopigania uhai wake. He was not that bad guy wanajamvi!