Mwandishi Neville Meena ni mgonjwa, yuko ICU Muhimbili

Asante kwa taarifa, ila swala la kuweka hata ka picha cha musika mpaka tukukumbushe mkuu!?
 
Ugua pole dugu yetu. Journalism bana hujui unamfurahisha nani au unamuudhi nani. Cha muhimu ni kutokuwa malicious. But I hope it's just a normal human illness
 
Inaonesha wewe ni kinda sana, unakielewa kichwa? Hujui hata ubongo uko kichwani?

Muulize daktari kichwa ni nini kisha urudi ukoment “kichwa tu”
Nawewe ni wale wale ikiwa ww unaelewa vzr funguka hapa muda wakwenda kumtafuta dr watu tunatoa wapi
 
Umeanza kutoa taarifa vizuri lakini mwisho umeonyesha jinsi ulivyo kiakili na uwezo wako wa kufikisha habari kwa jamii.
Habari yote imeharibiwa na maneno yako ya mwisho ya kipuuzi,nipo muhimbili nilitaka kujuwa yuko wapi lkn kwa upuuzi wa maneno yako ya mwisho umesababisha mwanajukwaa huyo kwa leo kukosa ugeni wenye faraja sana kutoka kwangu,nageuza niondoke zangu.
 
Hii nchi yetu changamoto kweli. ICU ndipo warau utapata huduma yenye uafadhali. Wodi za kawaida Aghakan ni sawa na ICU za Muhimbili
 
Back
Top Bottom