Fisadi Mtoto
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 639
- 82
Du njaa hizi zitatumaliza na vita dhidi ya ufisadi ni ngumu mno. Ngoja tusubiri atakachokuwa anaandika huko, maana atakuwa anajua siri za Mengi nyingi. Kaahidiwa dau kubwa kutoka pesa za ufisadi na kingmaker RA, na huenda keshanunuliwa jumba kubwa la kifahari mahali.
wakuu mie simlaumu.......hata nyie mkisikia RA ana recruit nishtueni....mzee mengi na yeye anwaminya sana mishahara wafanyakazi wake....
hakuwa tabata yupo mikocheni mkuu vipi?msaki ndo anatuhama tabata! Na yule demu wake nana moleli anahama naye au?
...........hapa news room ipp wanaonyesha kutoamini kilichotokea.
simple kama Mengi kawadhulumu walemavu gari what makes you think atakuwa na moyo wa kuwalipa wafanyakazi wake vizuri?
simple kama Mengi kawadhulumu walemavu gari what makes you think atakuwa na moyo wa kuwalipa wafanyakazi wake vizuri?
Dawa ni kutonuua magazeti yote ya mafisadi
HAKUWA TABATA YUPO MIKOCHENI MKUU VIPI?
Mimi nimeacha kununua gazeti la Mtanzania tangu RA awe mmiliki!