Mwanawake huitaji dozi kamili kila baada ya muda gani?

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Katika hali ya kawaida wanawake hupenda kufanya tendo la ndoa kila baada ya muda gani? kikawaida.

Je, ni kila siku, au zikipita siku tatu ndio balaa au vipi?.
 
Nataka kujua maana kazi zangu ngumu kaka alafu pia sipendi muingiza mtu kwenye vishawishi vya kunisaliti. nikaona nijue normal maana muda mwingine mtaani au kazini mwanamke husema hata mwaka anakaa na yuko fresh wengi wanavunga.nikaona hapa jukwaani wanaweza kuwa open
 
sasa si umuuluze mwenyewe akuambie? Au unamuogopa?! Tatzo unapiga sana menu
 
wanawake hutofautiana sana. kuna wanawake hutaka dozi kila siku au zaidi ya mara moja kwa siku tena dozi kamili maana yake ya kumfiksha.

Ninao ushahidi wa wanawake wanaofanya ukahaba sio kwa ajili ya kupata pesa bali kusuguliwa tu, na wengine wameolewa lakini kujikuta wanahonga vijana ili wazuguliwe zaidi.

Hapo inahitajika hekima ya mwanamke. unaweza kujitutumia vitatu or vnne kila night na bado mwanamke akataka kusuguliwa na mchana ukiwa job kikamuwasha. hapo ni mwanamke kujiheshimu.
 
unakula mara ngap kwa wiki mkuu?....ndio jibu lenyewe
 
hamu ya kufanya mapenzi hutegemeana na mwanamke mmoja kwenda mwingine, pia, wawili walioko kwenye mahusiano waweza kuwa chachu ya kufanya sex kila siku ama kinyume chake..

pia aina za vyakula mbali mbali vinavyoliwa na wither she/me, vyaweza kuwa sababu nyingine ya kuchangia kuongeza hamu ya sex karibu kila wakati..

NB: kwa upande wa mwanaume, wanasayansi wanasema kuwa, viamshi vya sex humjia kila baada ya saa 48... assume mwanamke aende nusu yake.
 
mkuu sperm ndio kila baada ya saa 48 lakin viamshi ni chin ya hapo japo sina evidence ya viamshi..... Hivi haijakutokea ukapiga gem mpaka sperm zmegoma kutoka lakin unajihisi umepiz. Namaanisha zmeisha
 
wanawake hutofautiana sana. kuna wanawake hutaka dozi kila siku au zaidi ya mara moja kwa siku tena dozi kamili maana yake ya kumfiksha.

Ninao ushahidi wa wanawake wanaofanya ukahaba sio kwa ajili ya kupata pesa bali kusuguliwa tu, na wengine wameolewa lakini kujikuta wanahonga vijana ili wazuguliwe zaidi.

Hapo inahitajika hekima ya mwanamke. unaweza kujitutumia vitatu or vnne kila night na bado mwanamke akataka kusuguliwa na mchana ukiwa job kikamuwasha. hapo ni mwanamke kujiheshimu.
Mwanamke mwenye kupenda hupenda kweli..yaani huwa anataka hata mara tatu kwa siku, week end ndiyo usiseme, lakini inazuia michepuko kwa namna moja au nyingine kama mume atamridhisha vya kutosha, kwani mume naye atawaona wanawake wengine sumu
 
wanawake wa tanga wana penda sana s.e.x ,unaeza ukasugua ata bao ishirini na bado akaitaji dozi.
 
Ngoja wahusika wakiamka watakuja na majibu ya ukweli.

Mimi ngoja niwasubirie.
 
Sex si mpk kut...... hii shughuli ni pana sana sasa kama wewe wajua kumridhsha mke ni mpaka muunganishe vikojoleo poooole.
 
wanawake hutofautiana sana. kuna wanawake hutaka dozi kila siku au zaidi ya mara moja kwa siku tena dozi kamili maana yake ya kumfiksha.

Ninao ushahidi wa wanawake wanaofanya ukahaba sio kwa ajili ya kupata pesa bali kusuguliwa tu, na wengine wameolewa lakini kujikuta wanahonga vijana ili wazuguliwe zaidi.

Hapo inahitajika hekima ya mwanamke. unaweza kujitutumia vitatu or vnne kila night na bado mwanamke akataka kusuguliwa na mchana ukiwa job kikamuwasha. hapo ni mwanamke kujiheshimu.
ao wa mama wa nyumbani..lol...
 
Mwanamke mwenye kupenda hupenda kweli..yaani huwa anataka hata mara tatu kwa siku, week end ndiyo usiseme, lakini inazuia michepuko kwa namna moja au nyingine kama mume atamridhisha vya kutosha, kwani mume naye atawaona wanawake wengine sumu

lait mngekuwa mnatoa dosi kaa hii au kila mda tunaohitji
 
Si waje wanyewe wajielezee humu jf wamejaa wengi ngoja watakuja!
 
Back
Top Bottom