Mwanaume yupi ananafuu kati ya hawa?

Mlevi means anazima kabsa uko hafai coz atajaliwa kibox manyoya.. mzinzi nae hafai mara mbili zaid
 
hahahaaaa.
Mhhhh! Bora mlevi...... lakini daaah! shughuli yake pevu pia.
 
siku zote mwanaume anayefaa ni yule anayeitunza familia yake (mke na watoto). awe mlevi, awe mzinzi haijalishi as long as anawatimizia familia. after all mbona wanaume wote ni wazinzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…