pole sana kwa kukutana na wanaume wa aina hio maanake AISIFIAE MVUA IMEMNYEA....
ungefanya la maana umnunulie huyo jamaa yako boxers nyingi kidogo maanke ni wazi ana boxers si zaidi ya tatu....
na umwambie kuwa asirudie kuvaa boxer abadili kila siku,POLE SANA KWA YALIYOKUKUTA
hapa unapoteza muda tu maanake sidhani kama hao type yako wamo humu, humu tumo watu tuna boxers za kuvaa MWEZI MZIMA BILA KURUDIA tena designers sio za CHINGA vitu kama CK,PHAT FARM,PRINGLE,NEXT etc na nisikufiche huwa nazirundika maanake siwezi kufua kila siku nafua baada ya wiki au wiki mbili!!!!!!
loading error....Well said aiseee wananuka kama mabeberu ... kumbe ndani anauvundo
Untill that day....things has to be done for him!I beg to differ. Usafi ni jukumu la mtu binafsi. Huo utegemezi wa kufanyiwa Na gf/wake zetu ndio unatuumiza. Siku akikosekana unaonekana kituko mtaani. Kwani wazazi hawakutufundisha kujitegemea katika usafi wa miili na mavazi yetu?
mi ndo nimeanza kufua...Yaishe jaman tutafua! Naomba hii thread iishie hapa
jichunguze looh utakuwa na shida sana.....afu ooh dem cmuelewi huyu mwanzo tulikuwa sawa lkn saiv dah...kaa tafakari ilo nalo laweza kuwa tatizo kaka.
Unawapiga watu chobo wakiwa wanaoga, wakati anavua ngu wewe unakuwa wapi na kuona hayo yote labda useme unabadilisha mmoja baada ya mwingine.
habari zenu wanajukwaa...mimi nna somo kwa hawa ME,hivi usafi wa nguo ya ndani kila cku ni kwa KE peke yao au? mana kiroja cha mwaka janamme zma linasema kutokana na maumbile yetu sisi ME tukivaaa boxer hata cku tatu ni sahihi...mi hoi kuckia hivyo,swali nyinyi hamtoi uchafu wa mwili au vp wenzetu..hamhisi uvundo..haijalishi hali ya hewa ikoje..usafi unaitajika kila wakati jamaniii,na si kwa galz tu.Jitu lajitia umaradadi nje kumbe boxer nayo ni shida kufua kutwaa unasogoa kijiweni hata mda wa kuswafi nguo yako ya ndani ni shidaaaaah,inasikitisha kwa kweli.Kumbuka fangasi inakunyemelea mda c mfupi.other wise uwe na pants as galz nyingi kama ni mvivu wa kufua kila cku..chagua wikiend ufue rundo lako..boxer moja then kurudia na hili joto letu la Dar ndo usiseme kitu pwiyaaaaa!!! lol ni hayo tu plz gyz be smart in and out.
wanawake wapo wengi
sio chabo mkuu..vijana wanavaa kata kei..kuonesha nguo zao za ndani au we hujui hilo
asante sana......kumbuka kwa matendo icje ikawa maneno...kwa namna moja au nyingine itakuwa imekugusa bila shaka
yeah kilichonigusa ni kwamba KUNA WANAUME WANAVAA BOXER WIKI NZIMA BILA KUFUA.....mimi ni mwanaume na nimesikitika sana kwa hali hio......but trust me i only wear a boxer for 12 hrs!!! na sirudii.....asubuhi mpaka jioni usiku nalala na pj/bukta kubwa
Habari zenu wanajukwaa.
Mimi nina somo kwa wanaume, hivi usafi wa nguo ya ndani kila siku ni kwa mwanamke peke yake au?
Kiroja cha mwaka mwanamme mzima anasema kutokana na maumbile yetu sisi wanaume tukivaaa boxer hata siku tatu ni sahihi.
Niliposikia hivyo nilijiuliza swali nyinyi hamtoi uchafu wa mwili au vipi wenzetu hamhisi uvundo.
Haijalishi hali ya hewa ikoje.
Usafi unahitajika kila wakati jamani na si kwa girls tu, jitu lajitia umaridadi nje kumbe boxer nayo ni shida kufua kutwaa unasogoa kijiweni hata muda wa kusafisha nguo yako ya ndani ni shida.
Inasikitisha kwa kweli, kumbuka fangasi inakunyemelea muda si mfupi.
Other wise uwe na pants nyingi kama ni mvivu wa kufua kila siku.
Chagua wikiend ufue rundo lako.
Boxer moja then kurudia na hili joto letu la Dar ndo usiseme kitu pwiyaaaaa
Ni hayo tu please guys be smart in and out.
Ahhhh Taruuuu.......
1. Boxer haijafuliwa ukungu si ukungu halafu anakuambia umnyonye pata picha...
2. Boxer haijafuliwa halafu amepiga mlegezoo
mkuu tafadhali hebu edit tena!!!!