Mwanaume wiki hufui boxer

Men were made to be managers(getting things done through others)....why should i fua? wakina Hawa hawapo? wameisha? Hata kama sijaoa they will have to do that for me as long as natafuta wanachokitaka!
I beg to differ. Usafi ni jukumu la mtu binafsi. Huo utegemezi wa kufanyiwa Na gf/wake zetu ndio unatuumiza. Siku akikosekana unaonekana kituko mtaani. Kwani wazazi hawakutufundisha kujitegemea katika usafi wa miili na mavazi yetu?
 

Unawapiga watu chobo wakiwa wanaoga, wakati anavua ngu wewe unakuwa wapi na kuona hayo yote labda useme unabadilisha mmoja baada ya mwingine.
 
Wengi hawafui nguo zao za ndani wanavaa week nzima na kwapani na downstairs hawanyoi yani kuna kua kama misitu ya Amazoni harufu lake sasa unaweza kuugua kabisa badilikeni na muwe wasafi
 

na wewe acha uzoba... Wiki nzima unamchungulia tu kama ameifua au lah.. Na wewe acha kufuga uchafu mfulie mumueo bana.
 
Wengi hawafui nguo zao za ndani wanavaa week nzima na kwapani na downstairs hawanyoi yani kuna kua kama misitu ya Amazoni harufu lake sasa unaweza kuugua kabisa badilikeni na muwe wasafi

tatizo DAWASCO wanatoa mgao wa maji sana
 
Bora sisi kama...beberu nyie ni zaidi ya vibudu....sometimes nzi wa kijani anawafata.....

lol usiombe mvua imnyesheeee na huo huo uvundo alouvaaa, then ajisahau imekauka..ni balaaa kitu kinachotoka ni bomu afu awe kwenywe kijimsongamano kama daladala hahahaha utasema ng'onda hiyo harufu..niwaibie siri wadada wanapenda usafi asilimia kubwa ...we hata kama c handsome jiweke smart as much u can dah hata kama ulikuwa haupo kwenye oblangata yake basi kwa kipindi kadhaa utajuepo...
 
usafi muhimu jamani.... usafi unaanzia ndani then nje kwafata....
 
Mi nadhani maumbile yao ndio yanayowadanganya kujiona ni watu wanaostahili kurudia rudia nguo za ndani.

Pia kuna hivi vivulana hivi vinavyopenda kuvaa milegezo navyo havijuagi kufua hizo boxer kwan unaweza ukapatwa na mshangao na kushindwa kuelewa alichovaa kina rangi gani.
 

Nijuavyo Ni Kwamba KENDE au ( MBUPU ) Zetu Sisi Wanaume Zinanuka Mno Kama Usafi Wa Mwili Na PICHU Zetu Hautazingatiwa Basi Kuna Hatari Kubwa Sana. Na Ni Kweli Sisi MIDUME Wengi Ni Wavivu Kuzifua Hizo Boksa Zetu Na Hata Kama Tukizinunua Tunanunua Za Rangi Ya Bluu Na Nyeusi Na Wengi Wetu Tunaogopa Kununua Za Rangi Nyeupe Kwa Sababu Ya UDAMPO ( UCHAFU ) Wetu. Habari Ndiyo Hiyo!
 

yaan wewe umefanya utafiti kwa mmoja basi ndo ushatoa conclusion kwa wote!!!!
mbona kuna wanawake ukikaa nao karibu wanatema harufu ya matiti ila hatuyasemi humu coz sio wote niliokutana nao!!!!
tupe tafiti yako vizuri umekutana na wanaume wangapi wa hivyo!!!
 

Sasa si ungeniambia siku ile, mbona mchezo wenyewe uliufurahii na kushukuru, ilikuwaje hilo la boxer tusirekebishane pale pale hadi uje kunitangaza huku.
 

mkuu tafadhali hebu edit tena!!!!
 

pole sana kwa kukutana na wanaume wa aina hio maanake AISIFIAE MVUA IMEMNYEA....
ungefanya la maana umnunulie huyo jamaa yako boxers nyingi kidogo maanke ni wazi ana boxers si zaidi ya tatu....
na umwambie kuwa asirudie kuvaa boxer abadili kila siku,POLE SANA KWA YALIYOKUKUTA

hapa unapoteza muda tu maanake sidhani kama hao type yako wamo humu, humu tumo watu tuna boxers za kuvaa MWEZI MZIMA BILA KURUDIA tena designers sio za CHINGA vitu kama CK,PHAT FARM,PRINGLE,NEXT etc na nisikufiche huwa nazirundika maanake siwezi kufua kila siku nafua baada ya wiki au wiki mbili!!!!!!
 
inamaana huyu mtoa maada ni ke?

Naam mkuu, hebu tazama hizi sehemu nilizokoleza kwa rangi nyekundu...

 
Mimi mka wikibili ninayo tu. Hahahaha
jichunguze looh utakuwa na shida sana.....afu ooh dem cmuelewi huyu mwanzo tulikuwa sawa lkn saiv dah...kaa tafakari ilo nalo laweza kuwa tatizo kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…