Mwanaume wa ukweli ni yupi!!


hivi kuna mwanaume wa uongo? yeyote mwenye jinsia moja ya kiume ni mwanamme, ila wanatofautiana tabia, mitazamo na fikra.
,
mfano:

1) kunawengine wana spidi ya kukimbia wengine hawana hiyo spidi
2) Wengine wakimya halafu wengine waongeaji sana nk.

wote hawa ni wanaume
 
hapo chacha! Na mlivyo machui mliovaa ngozi za kondoo!!
aku, mimi simo. bila shaka una taarifa ya kwamba siku hizi nmeokoka. nampenda Yethu krithito. yaani hadi raha, jamani!. mia
 
mwanaume wa kweli hawezi kuvumilia ikapita wiki nzima au mwezi ikiwa mpenzi wake hana matatizo yoyote. mwanaume wa kweli anatakiwa kumkuna mpenzi wake kila siku "haya mambo hayana usharobaro jamani" unaweza ukapoteza mke hv hv!, akachukuliwa na vijana wanaojua kazi.
 
asiyeyumbishwa na upuuzi wa mapenzi
 
...kabaki MANDELA na MUGABE tu... PERIOD. Uliza sasa hawa jamaa once in their life's history walikaa kwa muda gani bila kuona "K''....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…