Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Umeona eeeh bidadaAnapigana kupambana na maisha, halali ndani kwasababu mvua leo imenyesha nje kuna matope wakati wiki ijayo anatakiwa alipe kodi ya nyumba na pesa hana.
ha ha ha haya bana naona umekuwa negativeMwanaume mwenye nguvu za kiume lazima afanye hayo yote
mwanaume wa kweli ni yule anayeweza kutimiza mahitaji yooote ya mwanamke wa ukweli.Habari wanajamii forum natumai nyie ni wazima sana
kwa wale wanaume wa ukweli leo nawaasa waache kufanya mambo haya yafuatayo
1.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na marafiki wa mke wake,au mpenzi wake
2.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na mdogo wake au dada wa mke wake
3.Mwanaume wa ukweli hawi na mahusiano na housegirl wake
4.Mwanaume wa ukweli hapigi punyeto
5.Mwanaume wa ukweli akiachana mpenzi au mke harudi nyuma anamtafuta mwingine ambaye anajua atakidhi mahitaji yale.....ili suala la kubreak up halafu unajipendekeza tena halina mantiki
Ongezeeni na nyie sifa za mwanaume wa ukweli aweje..........mchana mwema
Hilo chura c mchezo Ni ww nn nije pm tuyajengu.asiwe shoga pia asiwe mbea au mwenye maneno kuntu huo ni unge.se.
ina maana usipokuwa kwenye mahusiano unaruhusiwa kufanya haya?Weka heading mwanaume wa ukwel kwenye mahusiano
ha ha ha kweli umbea haumpendezi mwanaume wa ukweliasiwe shoga pia asiwe mbea au mwenye maneno kuntu huo ni unge.se.
hakika ww ni mwanaume wa ukweli lakini usitumie dume mwa mke wa mwenziomwanaume wa ukweli kama mimi na magufuli tunapiga push up 100 kila asubuhi na jioni pia tunatumia dume!...
ha ha ha ha evelyn salt wamekwenda wapi wanaume wa ukweliNa..... Wanaume wa ukweli wamepotea kama sukari ilivopotea
huu msemo wa chura huwa unanichanganya,chura huwa mnamaanisha nnhayo yote mbona yanalenga kutumia chura tu? ina maana wanaume wakweli ni watumiaji wa vyura tu? kuwa serious umetudhalilisha aisee.