Kwakweli mzee Shirima atakuwa yuko bwii, ona jaketi lake lilivyochafuka, lazima atakuwa kafungwa kiubishi hapo baada ya purukushani nyingi. Halafu mama yuko Kenya saa hii anatafuta mme wa kukodi.
Kwakweli mzee Shirima atakuwa yuko bwii, ona jaketi lake lilivyochafuka, lazima kafungwa kiubishi hapo baada ya purukushani nyingi. Halafu mama yuko Kenya saa hii anatafuta mme wa kukodi.
Mkuu hili tatizo siyo rombo tu hata moshi vijijini lipo.ukitaka kuona ukubwa wake ni hudhuria mazishi na pia nenda makanisani hakuna vijana in wazee tu.kuna pombe inaitwa London hakuna Kijana anaweza akanywa pack 3 maana vina ulevi kupindukia afu wanauza 350 tsh.