Mwanaume wa Rombo .......................

itabidi niende nika wa testi
 
Nadhani kuna kitu nyuma ya hii tamthilia ya Rombo. Kuna kitu au mtu anatafutwa.!!
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni,
Hakika nimekaa nikatafari namna hawa ndorobo wa rombo wanavyokuwa baada ya kunywa mbege.
Nb: ni utani tu..... kwa ndugu zangu kina "yeruwiiii".
 

Attachments

  • 11259853_822864931139166_4661981893562094703_n.jpg
    64.9 KB · Views: 3,686
Hahahahahahaha. ........eti ndorobo. ila huyo mzee na dereva ni wabunifu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…