mwanaume wa miraba 4

mwanaume wa miraba 4

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1016400_372546132868140_1691649820_n.jpg
 
Jamaa shoulder press anakwenda sawa,
Biceps na triceps amejitahidi,
Tatizo hapa kwetu gym na chips za mafuta ya transformer unapata bonge la concoction.
 
Aaaaah.......mwanaume huyu......hii picha unaweza kuipandishapandisha juu kidogo.......tafadhali....
 
Jamaa shoulder press anakwenda sawa,
Biceps na triceps amejitahidi,
Tatizo hapa kwetu gym na chips za mafuta ya transformer unapata bonge la concoction.
Mwanahisa, unanipa impression kwamba wewe ni fan wa bodybuilding kwa jinsi
ulivyomwaga hizo terms: shoulder press, biceps and triceps.Utatuwekea lini picha yako ukiwa
kwenye bench press?
 
Last edited by a moderator:
HYGEIA
Niko committed tayari mkuu,
Ingekua zamani sawa ila sasa sheria inanibana.
 
Last edited by a moderator:
Aisee we acha tu, ongezea love garden kidogo.....................................sisemi kitu
 
Jamaa shoulder press anakwenda sawa,
Biceps na triceps amejitahidi,
Tatizo hapa kwetu gym na chips za mafuta ya transformer unapata bonge la concoction.
Funguka zaidi wewe ni trainer wa gym ipi?
 
Back
Top Bottom