Vipi hapo mtaani umekosa kabisaHabari zenu wadau,
mimi ni binti wa miaka 27 natafuta mume awe mkristo mwenye Hofu kubwa ya Mungu.. Mtafutaji na mkarimu. Asiwe mkali au mkorofi.. miaka kuanzia 28 -35 mrefu kiasi.
Mimi naishi Dar, na elimu yangu ni kiwango cha degree.
alie tayari na mwenye nia tutafutane DM.
Asanteni sana.
Kwa vigezo hivyo, labda upeleke oda kwa MunguHabari zenu wadau,
mimi ni binti wa miaka 27 natafuta mume awe mkristo mwenye Hofu kubwa ya Mungu.. Mtafutaji na mkarimu. Asiwe mkali au mkorofi.. miaka kuanzia 28 -35 mrefu kiasi.
Mimi naishi Dar, na elimu yangu ni kiwango cha degree.
alie tayari na mwenye nia tutafutane DM.
Asanteni sana.
UKI HITAJI MWANAUME WA KUMALIZA NAYE MAISHA NIFUATE PM.....Habari zenu wadau,
mimi ni binti wa miaka 27 natafuta mume awe mkristo mwenye Hofu kubwa ya Mungu.. Mtafutaji na mkarimu. Asiwe mkali au mkorofi.. miaka kuanzia 28 -35 mrefu kiasi.
Mimi naishi Dar, na elimu yangu ni kiwango cha degree.
alie tayari na mwenye nia tutafutane DM.
Asanteni sana.
Umeamua kujilipua sio...
Kila la kheri
Like niku Add
Amen, asante sanaWatakuja wengi sana lakini jaribu kumshirikisha MUNGU utapata aliye chaguo sahihi coz MUNGU wetu ni wa upendo hapendi kuona mtoto wake apotee
Hahahaha na usijesiji...