Ana sifa zote za wife material
Alikuwa mpenzi wangu kwa miaka 15. Nikaona bora nioe tu.
Mkuu miaka 15, huyo alishakuwa mke siku nyingi tu sema uliamua kuhalalisha. 🙂🙂
Nilikuwa sikai nae. Ila tulikuwa wapenzi.
Na yeye alikaa kimya kwa mgegedo wa 15yrs!? Au alikuwa anakusumbua ndoa mara kwa mara!Alikuwa mpenzi wangu kwa miaka 15. Nikaona bora nioe tu.
Na yeye alikaa kimya kwa mgegedo wa 15yrs!? Au alikuwa anakusumbua ndoa mara kwa mara!
Hivi Rubii,picha uloweka ni wew mwenyew?mmmh aisee e....