Mwanaume wa Dar

Wa mkoani huyo kaja dar kutembea. Si papaaaa mafidooooo huyo wa arusha. Jana nyama choma festival alikua anashangaa sanaa
 
Vijana wa mbezi beach hao ,Wakishakula kitimoto kwa Mchina au Juliana unawakuta Top garage ....au T square
 
Vijana wa mbezi beach hao ,Wakishakula kitimoto kwa Mchina au Juliana unawakuta Top garage ....au T square

hii mkoani mkuu. mjini kuna mtu ananyoa 'panki' kama huyo jamaa mwenye tshirt ya orange kweli?
 
Wote wa arusha hao..papaa mafido alikuwa kavaa boxa tu...ahahahah na huyo dogo nlkuwa namuona IFM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…