Mwanaume wa bunda akiandaa maakuli

Huyu anawaiga wanaume wa Dar hasa mtepesho anahitaji kuchapwa bakora na wanaume halisi wa mikoani. Hii haikubaliki aisee.
 
Poti umetuaibisha au kama sio hivyo una vinasaba vya wanamme wa dar. Unavaa mtepesho tako na chupi nje nje,watu wa mkoa wa mara ambao hatuna vinasaba vya wanamme wa dar huwa hatuvai mtepesho,je ukicheza ritungu au embegete au ekesa au rilandi au indono au jidogori si itadondoka.vaa vizuri unatuaibisha bunda hatuko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…