katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Kuna ID hua zinaandika kama zipo kwenye heat.
Zikiambiwa zitembezewe moto zinaruka ruka.
Sina shida kihivyo na wanaume eti hamjui ninavyoishikatoto kazuri bado tu,
kaoge maji ya bahari siku saba mfululizo,utampata atakaekuliwaza ,naona mdogo wangu maloveee yanakupa shida sana,one day utampata tu tuliza bolu,sio kila mutu akikwambia nakumaindi basi wewe fasta unamvulia nguo ndogo kabisana maleggs mpaka dirishani.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuna ID hua zinaandika kama zipo kwenye heat.
Zikiambiwa zitembezewe moto zinaruka ruka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatakuja huyo achana nae , we njoo kwangu ULAMBELOLO
Write your reply...
WaoSio waste of time, hiyo ni power of love. Labda sema wewe hujawahi kupitia hiyo hatua kwa kukutana na mtu special ambaye anaifanya akili yako ione kwamba kumbe kila kitu kinawezekana.
Very niceee.Mi sijawahi kuyaamini mapenzi ya sampuli hiyo! Ninae mmoja yupo Zambia ni mwaka wa pili sasa tuwasiliana tunaitana baby. Anaoneka yupo real ila mi sijawahi amini hicho kitu, alishawahi kuniuliza nikiwa na genye nafanyeje? Nikamwabia watoto wakugegeda wapo wengi mno.
Akaniauliza tangu tuanze kuwasiliana ulishawahi kuwagegeda wangapi? Nikamjibu 6 (kiukweli ni zaidi ya 6).
Aliwaka sana ila nikamwambia huo ndio ukweli. Mi mapenzi ya mbali siyawezi, usitarajie nivumilie genye ilhali Sina uhakika wa kuwa na wewe. Kwakifupi tuna tofauti nyingi sana ambazo mi Binafsi naona ni vigumu kuishi pamoja labda chapa ilale tu. But yeye anaamin tunaweza kusolve na tukaishi pamoja, nimemwambia asahau kutumiwa nauli na mm, kasema nimuandalie yakurudi tu yakuja Bongo atajilipia.
So nasubiri wifi/shemeji yenu kwenye pasaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima ukiweka bango ni inahusu aliyeandika kweli??Dada nakushauri kamuone psychologist.