Unaweza ukawa sahihiGal wako kukucheat ni kosa lako. Hukutimiza wajibu wako.
(usipanic, hata sie wanawake tunaambiwa ukiwa cheated hujamtimizia mwanaume wako)
Ni kweli Mwanamke (mwenye sifa njema za kike) sio wa kuumizwa kamwe kwsbb Mungu anahesabu kila chozi la Mwanamke,kwanza ni viumbe dhaifu.
ILA sio kila anayeitwa mwanamke basi ni mwenye sifa njema na atapata mtu wa kumtreat vizuri. Ukijiheshimu na kumheshimu Mumeo hata Mungu atakuheshimu.
Chozi lipi? La furaha au la huzuni?
wewe umewahi kumuumiza cute b?
cute b amewahi kukuumiza?
cute b njoo umjibu mdogo wako
Kwa kwel haijawah kutokea akaniumiza zaidi ya siku amenibikiri..zaidi ya hapo sisi ni furaha tuu
Mwanaume halisi kamwe hawezi kumuumiza mwanamke. Kuwa mwangalifu pindi unapomliza mwanamke. Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake.
Mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume. Si kwenye miguu yake ili kukanyagwa. Sio kichwa chake ili kuwa juu yake. Lakini kwenye upande wake ili kuwa sawa. Chini ya mkono ili alindwe. Na baada ya moyo ili apendwe
Msiwaumize jamani
hatuwaumuzi janani

:thumbup:Mwanaume halisi kamwe hawezi kumuumiza mwanamke. Kuwa mwangalifu pindi unapomliza mwanamke. Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake.