Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,732
[emoji23][emoji23][emoji23] huu uchawi sasaTuko hapa lolote linaweza kutokea, usisite kutuambia[emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] huu uchawi sasaTuko hapa lolote linaweza kutokea, usisite kutuambia[emoji847]
Dugu mwandishi, sijasema ukae kimya sehemu yeyote. Ila nimeongela ku-apply reverse psychology to control your women.Remember na wao ni binadam, they can fuk up too. Ukikaa kimya wanakupanda. Muonyeshe makosa yake kwa utaratibu
Nakutumia inboxNipe namba za huyo mtoto wako [emoji23]anionyeshe mganga wake kwanza, alafu nita comment baadae
Dunia ngumu Sana G wangu🙆🙆🙆Tumepigwa mtu wangu🤣🤣
Japo mjini wanasema mshamba_hachekwi 😂😂Dunia ngumu Sana G wangu🙆🙆🙆
Muache huyo Hana baya.Japo mjini wanasema mshamba_hachekwi 😂😂
Swahiba eeMuache huyo Hana baya.
Namuelewa Sana....ana vicomment vyake personalSwahiba ee
Huyu huyu mshamba_hachekwi ?Namuelewa Sana....ana vicomment vyake personal
asante sana 😂 kichwa kimevimba....Namuelewa Sana....ana vicomment vyake personal
Angalia usije litia tembo maji.....Maana mgema akisifiwa🤣asante sana 😂 kichwa kimevimba....
Huyuhuyu!kwani we unamuonaje mshamba wa watu🤣Huyu huyu mshamba_hachekwi ?
hamna, mi kijana wa watu mpole sana....Huyuhuyu!kwani we unamuonaje mshamba wa watu🤣
Barikiwa Sana kijana mpole😜hamna, mi kijana wa watu mpole sana....