Ongezea mengine ambayo huwa anayafundishaKuna mama mmoja msabato anafundisha
"Anasema wanaume tujipende"
Yaani kwa kifupi, kwenye kujitafuta usijisahau wewe mwenyewe, jipendeMawili matatu kwavijana wenzangu:
Bas nawaasa msisahau kujipongeza (nini namaanisha?)
- Kwenye harakati za kutafuta pesa
- Kwenye harakati za kutafuta ugali wa watoto
- Kwenye harakati za kujikwamua kimaisha
- Kwenye harakati za kutimiza wajibu wako kama baba
Ukiendekeza sana majukumu hautakaa ununue hata boxer wala vest mpya, majukumu kila siku yanaongezeka na pesa haikidhi mahitaji so ukiendelea kuangalia familia tu hata chips hauto kula katika maisha yako yote.
Siku moja moja kaa zako sehemu agiza vitu vizuri kula, kunywa ,vaa pendeza (hata kama nyumbani wamelalia ugali na pilipili ww hio isikuumize kichwa)
Ni kweli inatakiwa tupambane kwaajili ya familia zetu (kutengeneza familia yako nibora kuliko familia uliotoka unatakiwa kutambua hilo ila kuna muda kwakutaka kutimiza kila kitu ndani unaweza jikuta hata mswaki unaotumia ushachoka ila hata kununua mpya unaona utaharibu bajeti (maisha yako utakua mtumwa wa familia yako mpaka unakufa, na ukifa umuhimu wako huku nyuma hautaonekana)
Hiyo familia unayoihangaikia leo kesho haitaona mapambano yako, sio mkeo wala sio wanao (ww ipambanie tu mana hakuna namna ww ndio baba nilazima utimize wajibu wako ila ushauri wangu kwako siku moja moja furahisha nafsi yako hata kwahicho kidogo unachopata)
Tukutane January mwakani
maneno sahihi namna hiyo!Mawili matatu kwavijana wenzangu:

Hizo sikukuu zenyewe kada nyingi wakinababa wanakuwa hawapo majumbani.Mtaalam hapa imebak 250k na ndio mpaka idi itoboe na ikutane na feb na nguo za sikukuu bado wala mchele. Aisee bora kujipasua tu na supu kuku ili upate akili maana ukijifanya unajua bajet unakula ugal na mboga mboga akil inadumaa. Wacha nikasahihishe mitihan kwanza
Kuanzia sasa ni kupata supu na makange kwa aslay mihogoHio mbaya sana kaka__now nimuda wa mabadiliko
Tena ni upumbavu uliotukuka, mama yangu aliniambia neno nikiwa mtoto mwanangu ukiwa mkubwa naomba ujipende sisi wanawake hatuna shukrani hata kidogo.Nacheka kama mazuri yaani eti mwanamke anunue nguo na mimi nisinunue , mara watoto wavae wapendeze mimi nimevaa manguo ya ajabu , eti nyumbani nipeleke nyama mimi kazini nile ugali dagaa ? Mtanisamehe siwezi kabisa lazima nile nishibe kwanza ndiyo mengine yafuate
Maana ndiyo haya unakuta tunazeeka dunia inatucheka kisa ujinga wa natumiza majukumu ya familia kwanza
Familia inapaswa kukutunza, wewe ukitafuta yenyewe inakutunza. Mkeo anapaswa kukutunza, mavazi yako, nguo zako, mwonekano wako ni jukumu lake.Nacheka kama mazuri yaani eti mwanamke anunue nguo na mimi nisinunue , mara watoto wavae wapendeze mimi nimevaa manguo ya ajabu ,
Unachonunua ndicho mnachokula wote. Chakula unachopeleka nyumbani, ndicho mke anachopika, ndicho baba anachokula ndicho watoto wanachokula.eti nyumbani nipeleke nyama mimi kazini nile ugali dagaa ? Mtanisamehe siwezi kabisa lazima nile nishibe kwanza ndiyo mengine yafuate
Maana ndiyo haya unakuta tunazeeka dunia inatucheka kisa ujinga wa natumiza majukumu ya familia kwanza