Kwani mtu anatafuta pesa ili azifanyie nini? bila shaka azitumie kwa namna mbalimbali yaani kuna matumizi ya lazima kama kula halafu kuna matumizi ya maendeleo kama vile kujenga na kuanzisha biashara. Pia kuna matumizi mengine pia muhimu vile vile. kama hayo ya naniliu ni muhimu pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.