Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,330
Nina mjomba angu mmoja ni mfupi kuliko wote kwao yuko 5ft kaoa mke 6.2" daah utafikiri mtu na mama yake š¤£Yani inakuwa kama mtu na mama yake akuuu sitaki hizo tabu mie
Nina mjomba angu mmoja ni mfupi kuliko wote kwao yuko 5ft kaoa mke 6.2" daah utafikiri mtu na mama yake š¤£Yani inakuwa kama mtu na mama yake akuuu sitaki hizo tabu mie
Umemisikaš¤£š¤
Huyu dada nae,kwanini kaongezea na mchuchumioš[emoji116]
View attachment 2566564
Nipo bro,vp?Umemisika
Sikutii machoniNipo bro,vp?
Yani ile namna ya kumtizama tu ni dharau tosha, na muda mwingine waweza imagine km unamkoa hivišna ukute ana uparaNina mjomba angu mmoja ni mfupi kuliko wote kwao yuko 5ft kaoa mke 6.2" daah utafikiri mtu na *****š¤£
Daah umejuaje?Yani ile namna ya kumtizama tu ni dharau tosha, na muda mwingine waweza imagine km unamkoa hivišna ukute ana upara
AiseeHata asingevaa huo mchuchumio bado ni mrefu kwa Mwanaume
Hata akiita hushtukiššDaah umejuaje?
Ana upara na kitambi juuš
Samahani kwa kuuliza huyo mkewe alimpendea nn mkuu š¤Nina mjomba angu mmoja ni mfupi kuliko wote kwao yuko 5ft kaoa mke 6.2" daah utafikiri mtu na *****š¤£
Daaaah unamuelezea mwl wangu wa chem A level yupo hivihivi šYani ile namna ya kumtizama tu ni dharau tosha, na muda mwingine waweza imagine km unamkoa hivišna ukute ana upara