binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 965
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] WORD!!Habari zenu Waungwana ,poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Ewe Manaume thamini upendo unaoonyeshwa na mpendwa wako ipo siku utautafuta huo upendo utaukosa kila kona utakayokuwa unazunguka utakutana na cheche za moto huku ukiitafuta Amani ya mahusiano huioni.
Mwanamke akikupenda nakupenda kweli ,onyesha kujali hata mawasiliano yake ,unapigiwa simu hupokei mbaya Zaidi ukipata miscall yake humtafuti ,ewe mwanaume ivi kweli una upendo au unatania?
Mwanamke anakuweka wazi mambo yake lakini wew unajifanya hayakuhusu,ewe mwanaume nakuuliza huyo mwanamke ni mjinga kukwambia? Ipo siku utamtafuta hata wa kukwambia asset aliyonayo na umkose na itakuwa siri yake
Kweli haya maisha ya mapenzi kuna wakati hayana maana…..yule unayempenda wew yeye hakupendi anampenda mwingine muda na wew hana kwanza ukimtafuta kwa ajili ya kumjulia hali ni shida
Pale unapomshauri anasema hapendi malumbano…..ukimwambia tutafute suluhu la hili tatizo anakata mawasiliano yenu…
Mwanaume usiyejali kuwa na nina mwenzangu …ana umwa hata kumjulia hali huna muda …ipo siku yako utapata wa kukunyoosha
Wacha niendelee kutafuta pesa kwanza mapenzi yatakuja yenyewe......
Ni maneno yangu kwa siku ya leo
Pale unapopata nafasi ya kupendwa pendeka “TRUE LOVE NEVER COME TWICE”
Pole sana
Umewahi kuchapa lapa?!Ukifanya jitihada zote hzo ukaona bado anakudharau we chapa lapa tu mapemaa kabla maumivu hayajakomaa
Kwahiyo nw una mwingine?!asante
YaapUmewahi kuchapa lapa?!
Hongera.....mwaka gani?!Yaap
Fursa acha kuuliza maswali we nenda tu pm...huyo anampa stellesKwahiyo nw una mwingine?!
Wazo zuri ila umetanguliza gender bias.Habari zenu waungwana, poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Ewe mwanaume thamini upendo unaoonyeshwa na mpendwa wako ipo siku utautafuta huo upendo utaukosa kila kona utakayokuwa unazunguka utakutana na cheche za moto huku ukiitafuta Amani ya mahusiano huioni.
Mwanamke akikupenda nakupenda kweli ,onyesha kujali hata mawasiliano yake, unapigiwa simu hupokei mbaya zaidi ukipata miscall yake humtafuti, ewe mwanaume ivi kweli una upendo au unatania?
Mwanamke anakuweka wazi mambo yake lakini wewe unajifanya hayakuhusu,bewe mwanaume nakuuliza huyo mwanamke ni mjinga kukwambia? Ipo siku utamtafuta hata wa kukwambia asset aliyonayo na umkose na itakuwa siri yake.
Kweli haya maisha ya mapenzi kuna wakati hayana maana yule unayempenda wewe yeye hakupendi anampenda mwingine muda na wewe hana kwanza ukimtafuta kwa ajili ya kumjulia hali ni shida.
Pale unapomshauri anasema hapendi malumbano, ukimwambia tutafute suluhu la hili tatizo anakata mawasiliano yenu.
Mwanaume usiyejali kuwa na nina mwenzangu ana umwa hata kumjulia hali huna muda, ipo siku yako utapata wa kukunyoosha.
Wacha niendelee kutafuta pesa kwanza mapenzi yatakuja yenyewe.
Ni maneno yangu kwa siku ya leo
Pale unapopata nafasi ya kupendwa pendeka “TRUE LOVE NEVER COME TWICE”