chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,576
Uanaume ni mikazo,kaza mpaka tone la mwisho,kaza kweli kweliWakuu,
Hebu tuachane na story za yule mpuuz jana katutia aibu sababu ya utoro wake kutohudhuria vikao,barua yake ya kumfuta uanachama iko tayari, itamkuta uko uko aliko.
Kila Mara kwny vikao vyetu tunasema, Leo narudia,Tena kwa msisitizo zaid:-
Mwanaume ukishakua mchepukaji lazima uwe na plan B unatoka vipi siku Ukifumaniwa unachepuka.
Sio unaanza kuweweseka, kubabaika na kuanza kujieleza Sana ukiomba misamaha kisa hofu ya kuachwa.
Mwanamke mpk anakufumania uyo anakupenda sana na hayuko tayar kukuacha. Lengo la kukufumania Ni kumkomesha uyo mchepuko wako atie adabu na sio Wewe.
Sasa unapojishusha unampa mfumaniaji confidence ya kukufanyia atakavyo eneo la famanizi ikiwemo kukudhalilisha na kuhatarisha usalama wako pamoja na usalama wa uyo Mchepuko wako.
Unachotakiwa KUFANYA Ni kujiamini, kuuvaa mfumo dume na kutumia UBABE kias ulioambatana na mkwara wa akili zaidi kutoroka eneo la fumanizi salama salmini mbele ya mfumaniaji kuepusha kudhalilika, madhara kwako na Mchepuko wako.
NB: Ukiona analeta usumbufu sana hata vibao kias vinaweza kumhusu shavuni ili mradi utoke eneo la tukio salama salmin na usidhalilike Zaid.
Kama Kuna la kujadili, sio eneo la fumanizi, Basi mtakutana uko uko nyumbani. Na uko utaratibu Ni ule TU, KUKANA SHTAKA 100% , hata Kama ulikutwa LIVE mapajani unafanya mapenzi.
BINAFSI,
MWANAMKE YEYOTE ASIJE THUBUTU KUNIFUMANIA, WALIONIFUMANIA WOTE WAMEPATA MATOKEO TOFAUTI NA WALIYOTARAJIA ENEO LA FUMANIZI
Nawasilisha[emoji1431]
🤣🤣🤣🤣Ipo siku atadakwa kizembe sana ....ni vle tu huku atatupa story ambazo yeye anakua kama sterling kwenye movie za kihindi lazima ushindeSio balozi,huyu anakaribia cheo cha UKOMANDO,ila ajuwe hata makomando nao huwa kuna siku wanaharibu,hapa ni shetani tu anakufichia mbinu zako zote unashangaa siku ya tukio unafanya madudu...
Shusha link ya huo UziKuna wadada wamechangia vizuri sana kwenye ule Uzi wa mhe! Aliyetuangusha natamani waje watoe madini hapa luckyline Joanah mama D hawa wanawake they are bright [emoji109][emoji109] na huyu bianca2023
Hii Komenti iwekewe laminesheniMwanaume hua hafumaniwi! Hua ANAKUTWA!
Mwanamke ndio anafumaniwq
Unakimbia ili iweje?Kwaio tusikimbie.....[emoji4][emoji4][emoji851][emoji851]
Uzembe mkubwa sana[emoji102]Sahii kabisa, mwanaume ukiruhusu kufuamaniwa Ni uzembe wa Hali ya juu mno
Kudakwa kivipi Sasa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ipo siku atadakwa kizembe sana ....ni vle tu huku atatupa story ambazo yeye anakua kama sterling kwenye movie za kihindi lazima ushinde
😁😁😁Kama Kuna la kujadili, sio eneo la fumanizi, Basi mtakutana uko uko nyumbani. Na uko utaratibu Ni ule TU, KUKANA SHTAKA 100% , hata Kama ulikutwa LIVE mapajani unafanya mapenzi
Ntajitetea ulikua mgomba ule,[emoji16][emoji16][emoji16]
Unamwambia alikufananisha!
Inaweza kuwa ya mchongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itabd PhD yake ifanyiwe utafiti[emoji1]
Mkuu usinikumbushe.....naogopa hata kivuli chakeKama ile ya jiwe[emoji1]
Dada hapa ndio ule mstari wa mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake,bali mpumbavu hubomoa kwa mikono yake mwenyewe,Yaani kuna waume halafu kuna waume-wanaume, my bro DeepPond wewe kiboko😁
Kwa nguvu zote nitaendelea kusema zinaa haikubaliki
Na siku zote nitaendelea kusema mwanaume anatakiwa kuwa na misimamo, anatakiwa kuwa mkali kwenye mambo ya msingi haswa yanahusu utu wake na familia yake ikiwa ni pamoja na kutoruhusu mtu yoyote ndani ya nyumba yake kufanya jambo litakaloaibisha familia yake.
Sitasema kwamba ni sawa kwa mwanaume kuchepuka, ila pia nitasema fumanizi la aibu sio busara wala haitokaa iwe zuio kwa mwanaume kuchepuka.
Mimi kama mwanamke naamini siku nikiamua kufanya fumanizi la aibu kwa mume wangu ni kwamba mapenzi yameisha siwezi tena hata kuishi.
Zipo mbinu nyingi za kudeal na hizi changamoto lakini hili la kumvua nguo mume na kumuaibisha mbele za watu hala ukaendelea kuishi nae yeye atadharulika lakini wewe mwanamke utaonekana janamke jinga kuliko.
Kwa mwanaume mwenye akili za aina yake ukishamfumania hivyo mapenzi yameisha....
Dada hapa ndio ule mstari wa mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake,bali mpumbavu hubomoa kwa mikono yake mwenyewe,
Mithali 14:1-18
Mwanamke unaenda vipi kumfumania mume ilhali bado wamtaka?sitaki aibu Mimi kwenye familia yangu
Mkuu Hii comment ya mama D umeiquote kutoka wapii? Mbona sijaiona?Dada hapa ndio ule mstari wa mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake,bali mpumbavu hubomoa kwa mikono yake mwenyewe,
Mithali 14:1-18
Mwanamke unaenda vipi kumfumania mume ilhali bado wamtaka?sitaki aibu Mimi kwenye familia yangu