Mwanaume smart wa kuchatinae

Mwanaume smart wa kuchatinae

liljaco

Member
Joined
Apr 9, 2015
Posts
14
Reaction score
1
Mkaka wa kuchange ideas anahitajika, mimi binti wa 21yrs, if you are here just pm me.

Thanx guys
 
Wewe mwenyewe uko smart? Weka wazi sifa zako kwanza
 
mmmmh hamkawiagi kuombana hela uishie hukohuko!meseji yakwanza yapili yatatu mzinga!
 
Hizi fursa za njenje si za kuacha Ngoja niichangamkie..........
 
nipo tayari ila meseji ukiandika mambo ya hela simu inazima

ImageUploadedByJamiiForums1437542615.498193.jpg
Napitaaa
 
Acha ujinga ww INA maana kuna wengine wachafu ambao awafai kuchati na we.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom