Kinauzwa bei ganiHabari Wana JF?
Katika pita pita zangu na pilika za mtu mwusi, nimekutana na Kifaa nilichokifanyia tafiti umuhimu wake, nashauri Kila mwanaume smart na aliyekua busy lazima awe nacho, na ikibidi atembee nacho Kila anapokwenda.
Kifaa hicho si kingine Bali ni TUMMY TRIMMER.
UMUHIMU WA KIFAA HIKI.
1. Upunguza mafuta kwenye Tumbo.
2. Uondoa nyama uzembe kwenye mwili.
3. Upunguza tatizo LA nguvu za kiume.
5. Usaidia mapigo ya moyo kuwa katika Hali ya kawaida Kwa kufanya mzunguko wa samurai kuzunguka kama inavyoitajika na mwili.
6. Kuchoma mafuta yasiyohitajika ndani ya mwili.
PIGA namba 0714444844 kujinyakulia Kifaa chako Kwa punguzo la Bei Tsh 30,000/= tu.
Bei ya ofa Tsh 30,000 tuKinauzwa bei gani
😂😂😂🙏Upewe hela kisa tu mtu aonekane smart and Busier. Vipi na Cha kuongeza nguvu ya ubongo hauna. Mana nguvu za kiume sioni Zina faida yoyote hata ambayo naweza nikaja kuwaonyeshea wajukuu zangu Kama fahari ya ujana wangu
Cha kushangaza katika picha ya ushawishi yumo mwanamke anakitumia. Sijui funza aliyekula ubongo wa mwafrika alikuwa na sm zaidi ya yule wa kule australia?!?!!![emoji36]Kila kitu nguvu za kiume. Mmepata kichaka cha kujificha.
Wajukuu zako watatokana na nguvu za kiume😂Upewe hela kisa tu mtu aonekane smart and Busier. Vipi na Cha kuongeza nguvu ya ubongo hauna. Mana nguvu za kiume sioni Zina faida yoyote hata ambayo naweza nikaja kuwaonyeshea wajukuu zangu Kama fahari ya ujana wangu
Mkuu umeona nimeandika nguvu za kiume pekee?Kila kitu nguvu za kiume. Mmepata kichaka cha kujificha.
Napata Mashaka na uzima wa ubongo wako, Kwa hiyo umuhimu wake umeona ni kuongeza nguvu za kiume pekee?Cha kushangaza katika picha ya ushawishi yumo mwanamke anakitumia. Sijui funza aliyekula ubongo wa mwafrika alikuwa na sm zaidi ya yule wa kule australia?!?!!![emoji36]
Nashukuru sana Mkuu.
😳Mkuu umeoa? Wajukuu unawapataje kama nguvu za kiume Hazina maana kwako.😂😂Upewe hela kisa tu mtu aonekane smart and Busier. Vipi na Cha kuongeza nguvu ya ubongo hauna. Mana nguvu za kiume sioni Zina faida yoyote hata ambayo naweza nikaja kuwaonyeshea wajukuu zangu Kama fahari ya ujana wangu
Ndiyo tunatafuta mkuu, Karibu tuungishaneTafuta hela