goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
We babu marasta mungu anakuona ujue....Unashindwa kutofautisha urijali na ushoga mkuu
Hujaongelea na ulichosema unavaa mguuni mkuuWe babu marasta mungu anakuona ujue....
Sasa kutoboa pua kama tupac na kuvaa kikuu mguuni kama Chris brown na kuvaa cheni kiunoni kama Young thug kuvaa cheni kifuani kama diamond , kutoboa masikioni kama hemed PhD ni dalili za ushoga hebu muogope mungu basi kwa maneno yako.
Basi kusuka rasta kama babu marasta ni ushoga pia. [emoji23]
Mwanaume rijali anavaa saa tu mkononi hayo mengine ni mbwembwe sasa sijui mwenzangu unasema unavaa mguuni unavaa nini hebu funguka basi. [emoji23]Hujaongelea na ulichosema unavaa mguuni mkuu
Rudi kwenye post yako #26 usome ulichoandika pale namba 3, umeanza kuongelea pua hadi miguu. Mimi sijasema kitu usinilishe maneno mkuuMwanaume rijali anavaa saa tu mkononi hayo mengine ni mbwembwe sasa sijui mwenzangu unasema unavaa mguuni unavaa nini hebu funguka basi. [emoji23]
NB : No Citation. Writing from my own perspectiveRijali - maana yake ni mwanaume mwenye nguvu za kiume au unaweza kusema yule mwenye uwezo wa kumtosheleza mwanamke/wanawake kimapenzi hata wakiwa wengi.
Wanaume wengi ambao ni Rijali mara nyingi lazima ukute wana skendo za kuwakwangua wanawake zaidi ya mmoja. Hapa haijalishi ana sifa hizo ulizotaja ama hana
Sifa hizo ulizotaja labda unaweza kusema ni "sifa za baba/mume bora" maana mwanaume makini na anaejali familia yake lazima awe na sifa hizo
Haihusiani na "URIJALI" dada angu. Kama ingekua hivyo Mashoga a.k.a Sio Riziki nao wangekuwa Marijali[emoji3][emoji3]
Hahahahah kweli, kina himed phd hao
Hahahaa. Najua Mshenga ila kwa upande wa pili pesa pekee hailibebi neno rijali likakamilika sababu wanaume mnatakiwa muwe na mengi ili kukamilisha huo urijali Mshenga.
Pesa ni kijisehemu cha urijali Mshenga.
Haya baba yaisheRudi kwenye post yako #26 usome ulichoandika pale namba 3, umeanza kuongelea pua hadi miguu. Mimi sijasema kitu usinilishe maneno mkuu
Rijali - maana yake ni mwanaume mwenye nguvu za kiume au unaweza kusema yule mwenye uwezo wa kumtosheleza mwanamke/wanawake kimapenzi hata wakiwa wengi.
Wanaume wengi ambao ni Rijali mara nyingi lazima ukute wana skendo za kuwakwangua wanawake zaidi ya mmoja. Hapa haijalishi ana sifa hizo ulizotaja ama hana
Sifa hizo ulizotaja labda unaweza kusema ni "sifa za baba/mume bora" maana mwanaume makini na anaejali familia yake lazima awe na sifa hizo
Haihusiani na "URIJALI" dada angu. Kama ingekua hivyo Mashoga a.k.a Sio Riziki nao wangekuwa Marijali[emoji3][emoji3]
Swadakta mkuuKama hawezi kumtia mwanamke mimba huyo ndio sio rijali, hizo zingine ni mbwembwe tu
Nani kasema mimi mwanaumeMwanaume rijali hajisifiii
Mimi sijasema wewe umejisifia, bali nimeongezea maneno kwenye list yako mkuuNani kasema mimi mwanaume
Nimekunukuu bara bara mkuu, maana ya maana anayo mzungumzaji siyo msikilizaji. Kifupi kama niko pamoja na wewe ni kuwa "urijali" bila ya kuwajibika ni hakuna maana.Naomba uninukuu hili mwanaume rijali ni yule anayetunza familia yake vizuri.
Angekuwa sio rijali asingekuwa na watoto umenielewa sio mpaka useme anaweza kugegeda mtu unajua tu.
Plud kujituma huyo ndio mwanaume rijali hapendi shida hata kama anawengi anawajali. So mwanaume rijali ndio huyo.