Mwanaume rijali ni yupi?

Mwanaume rilaji ni yule ambaye sio mpka ajinuse kwanza kwapa ndo eti limpe majibu ya kwenda kuoga au kupotezea[emoji856]
 
Rijali ni kwenye maumbile na swala zima la kudindisha ww umeongelea mwanaume mwenye msimamo.
Hahahahaaa aisee.....hulijali sio maumbile kijana....hata maguy kibao mjini mbona wanamaumbile lkn sio ridhiki....urijali ni concept pana kama dada etu alivojaribu kudadavua pale juu
 
Hahaaa. Kwa upande wako imekaaje rafiki?
Jandoni nilifunzwa kwamba mwanaume rijali ni yule anaedindisha akamridhisha mwanamke na anao uwezo wa kumsababishia mwanamke kushika mimba
 
Jandoni nilifunzwa kwamba mwanaume rijali ni yule anaedindisha akamridhisha mwanamke na anao uwezo wa kumsababishia mwanamke kushika mimba
Hahahaa. Ndio sababu nilipoandika nikasema kumbe rijali ni neno pana.

Sababu na mie nilikuwa nawaza kama wewe rafiki.
 
Acha kujidanganya ww yaani kama hudindishi hata ufanye mangapi wewe sio rijali
Tanua ubongo kijana....ndo mana nimekwambia "rijali" ni concept pana sana.....sio kudindisha peke yake....bali ni vitu vingi sana....vp kama unadindisha lkn mbegu zako hazina nguvu ya kuovulate mtoto kwa mama??? Ni rijali??
 
Aisee
Huyo unaemzungumzia ni mwanaume rijali kweli ama mwanamke mwenye haiba ya kike!?
 
Nimejipanga sana ndio maana nimeandika
 
Huo sio urijali unaweka mimba nani akulelee hao wenye mimba wanaume marijali ni wale wenye kukubali hali halisi ya maisha nakupigana nayo mwanaumr rijali ni yule ambaye muda mwingi hawazi mapenzi anawaza hela atapataje watoto wasome shule nzuri nakupata maisha mazuri.
Mwanaume rijali ni yule ambaye hupenda kuwa busy akifight kimaisha sio yupo busy kuwajaza watu mimba wasio na mpangilio
Katika life huyo sio mwanaume rijali.
Mwanaume rijali humkuti anahistoria yakujaza jaza mimba watu.
Yeye yupo busy kutafuta life.
 
Hahaaa. Ya kweli hayo Mshenga?

hahahah.
mwali mbona hata we unajua.
kwani utakubali hayo yote alafu mfukoni 0%???
sifa ya pekee ambayo mwanaume hupata dharau anapo ikosa pesa mfukoni alafu eti no msafi, sjui mtanashati, sjui sharobaro huo ni uvulana sio uanaume.
au mwali nakosea?
 
Anamkee na watoto note hio sio mikatiba yako na stress zako akilini
 
Hahahaa. Najua Mshenga ila kwa upande wa pili pesa pekee hailibebi neno rijali likakamilika sababu wanaume mnatakiwa muwe na mengi ili kukamilisha huo urijali Mshenga.

Pesa ni kijisehemu cha urijali Mshenga.
 
Unashindwa kutofautisha urijali na ushoga mkuu
 
Unashindwa kutofautisha urijali na ushoga mkuu
We babu marasta mungu anakuona ujue....

Sasa kutoboa pua kama tupac na kuvaa kikuu mguuni kama Chris brown na kuvaa cheni kiunoni kama Young thug kuvaa cheni kifuani kama diamond , kutoboa masikioni kama hemed PhD ni dalili za ushoga hebu muogope mungu basi kwa maneno yako.

Basi kusuka rasta kama babu marasta ni ushoga pia. [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…