Hii huwa ni chanzo cha stress ndani ya nyumba.Heshima mbele
Daaah... mwanaume unarudi home saa 3 usiku. Mwanamke kanuna. Maswali yanaanza ulikuwa wapi? Unajitetea nilkuwa na marafiki zangu tunapanga madili ya pesa. Hasa maendeleo ya ile saccos yetu. Swali lingine.. mlikuwa sehemu gani? Unamjibu tulikuwa pale Matako Bar. Mwanamke anasoooonya then anaingia chumbani kimyaaa. Sasa ninyi my wife wetu mnadhani pesa ya ada au ya vipodozi zinatoka wapi bila kukutana na marafiki. Pili, hamjui kwamba Mwanaume ni Nje Ndani? Sio kukaa ndani tuuu..!!
Jamani wanaume wenzangu hili mnadili nalo vipii..?
USIKU MWEMA
Poa mkuu, naona tatizo kubwa kwa kina mama ni eneo la tukio. ukisema tulikuwa kanisani.. hana neno. [emoji4] [emoji4]AISEE HUMU UTASHAURIWA NA HADI WATOTO WADOGO.....CHA MSINGI ONGEA NA MKE WAKO MUELEWESHE AKUELEWE PIA JITAHIDI KUWA NA MAWASILIANO YA MARA KWA MARA INAPUNGUZA MASWALI YA SIYO YA MSINGI SANA
Mkuu matako bar. Unanikumbusha mbali aiseeHeshima mbele,
Daaah! Mwanaume unarudi home saa 3 usiku. Mwanamke kanuna. Maswali yanaanza ulikuwa wapi? Unajitetea nilkuwa na marafiki zangu tunapanga madili ya pesa. Hasa maendeleo ya ile saccos yetu.
Swali lingine mlikuwa sehemu gani? Unamjibu tulikuwa pale Matako Bar, mwanamke anasonya then anaingia chumbani kimya.
Sasa ninyi my wife wetu mnadhani pesa ya ada au ya vipodozi zinatoka wapi bila kukutana na marafiki. Pili, hamjui kwamba mwanaume ni nje ndani? Sio kukaa ndani tuu.
Jamani wanaume wenzangu hili mnadili nalo vipii?
USIKU MWEMA
Nashukuru mkuu. amri ya kwanza ya Jf inasema 'akili za kuambiwa changanya na zako'. Na siku hizi humu wamejaa watoto hadi wa darasa la 6AISEE HUMU UTASHAURIWA NA HADI WATOTO WADOGO.....CHA MSINGI ONGEA NA MKE WAKO MUELEWESHE AKUELEWE PIA JITAHIDI KUWA NA MAWASILIANO YA MARA KWA MARA INAPUNGUZA MASWALI YA SIYO YA MSINGI SANA
Sawa mkuu, haya mambo ya ndoa bana yana changamoto zakeLazm mkeo anune we kwann ukijua unachelewa usi wasiliane naye mapema kua "baby/mke wangu mpenzi niko mahl flan na marafiki zangu tunabadilishana mawazo kwahy nitachelewa kidgo kurudi nyumbani" tosha,mwanamke ukimpa taarifa au hat ukimshirikisha baadh y nyendo zako atakuamini n hata kama umekwwnd kuchepuk wala hata kua na wasws
Ttzo leni wanaume mnajifanya ubabe sana,mnaona mkiwaambia wake zenu mlipo atakuja kuharibu ,wanawake sikuhiz hatuna huo muda tunataka mapenz full stop
Haya, nenda harak kw mkeo chumbani muombe msamaha kwa mahaba mazito na usirudie tena.
Kesho mpe taarifa uone kama utapata msonyo,nyie wenyew ndio mnakaribisha misonyo
Sasa washika dau ndo wamepanga hiyo venue, hakuna namna lazima uhudhurie tu.Kwa nini ushinde baa... tena matako baa... ni sawa useme ulikuwa unapanga dili za pesa corner bar au kimboka...
Kichwa cha Habari kiliniogopesha
Wanaume wengi sana huwa wanatoa ushauri huu. nadhani kuna ukweli kiasi kikubwa.Achana na mwanamke we fanya mambo yako tu, ukimshirikisha kila kitu utakwama hasa hasa dili za nje ya mda wa kazi utagombana naye bure tu.
KWA NINI MKUU? NINI KIMEKUTISHA. HhahahaaaKichwa cha Habari kiliniogopesha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah hata mimi nimeogopa nikaja speed nikajua tayari wamekamata mwanaume chakula anaopambana nao Makonda kumbe siyo hivyo afadhari.
Ha ha ha ha endeleen na telemundo zenu....Lazm mkeo anune we kwann ukijua unachelewa usi wasiliane naye mapema kua "baby/mke wangu mpenzi niko mahl flan na marafiki zangu tunabadilishana mawazo kwahy nitachelewa kidgo kurudi nyumbani" tosha,mwanamke ukimpa taarifa au hat ukimshirikisha baadh y nyendo zako atakuamini n hata kama umekwwnd kuchepuk wala hata kua na wasws
Ttzo leni wanaume mnajifanya ubabe sana,mnaona mkiwaambia wake zenu mlipo atakuja kuharibu ,wanawake sikuhiz hatuna huo muda tunataka mapenz full stop
Haya, nenda harak kw mkeo chumbani muombe msamaha kwa mahaba mazito na usirudie tena.
Kesho mpe taarifa uone kama utapata msonyo,nyie wenyew ndio mnakaribisha misonyo
Big NoHa ha ha ha endeleen na telemundo zenu....
Hata ufanyaje furaha ya mwanamke ni kumuona mumewe amekaa ndan tu kutwa nzima.
Ila cha ajabu akiishiwaa kitu sentens ya kwanza baba fulan naomba hela amesahau kua muda wote ulikaa tu ndan hyo hela utaipata wap.
Hata umuage vip mwanamke ukirud bado tu atanuna