Mwanaume ni..

~~~MWANAUME~~~HUO~~~NI~~~UMAMA~~~

Emmanuel----->>Mwanaume kuvuka na feri ni umama fala wewe

Mwanaume ni kuvuka kwa kuogelea


Manyori---->>Kuogelea pia umama
mwanaume anatembea juu ya maji kama Yesu


Godwin---->>Kutembea juu ya maji nayo ni umama

Mwanaume kutenga maji kama Musa na kupita katikati


Romeo---->>Nakutenganisha maji nao eti ni umama

Mwanaume kumezwa na samaki kama Yona alafu ukatemwa upande wa pili


Alex---->>Kumezwa nako ni umama

Mwanaume wa kweli atengeneze Safina kama Nuhu


Starllone ---->>Kutengeneza safina nako umama

Mwanaume unatakiwa ufe kishujaa kama Askari wa Farao


Justine ---->>Kukubali kufa huo ni ushangazi

Mwanaume ufufuke kama Yesu


Mganga---->>Kufufuka kama Yesu huo ni umama + ushangazi

Mwanaune kuwa zombie
 
Mwanaume kula Milo mitatu kwa siku ni ushangazi mwanaume inabidi ule Mara moja kwa wiki
 
Inaonekana wamama ni wabaya sanae maana umama ni umegeuza kua tusi kama yalivyo matusi mengine unatumia heshima ya mama kwa mambo ya kipuuzi bas mtoa mada una tabia ya kisenge ..sijatukana bana badala ya kuandika umama nikaandika ivyo maana hayomaneno yote yanatumika kumuonya mtu
 
Mwanaume kuhudhuria msiba ni umama,uanaume ni kufariki dunia 😀😀
 

Mwanaume kupanic kwa mambo ya kipuuzi na kutukana ni UMAMA pia, mwanaume ni kurusha ngumi
 
Mwanaume kuleta thread za kichawi huo ni umama kiwango cha Phd, mwanaume kuwa MCHAWI
 

its for fun
acha kuchukulia serious kila kitu...utapata tabu sana,

mwanaume kukasirika kasirika kwa vitu visivyokuwa na kichwa wala miguu nao ni umama!

no offenc chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…