Wa kwanza...
Huyo mwanaume akumbuke kua haishi in isolation. Kuoa mwanamke ambae ni the so called malaya ni mara nyingi hutokea katika Jammii. But kumbuka kua maisha ya ndoa yanahusisha nyie wanandoa kuishi kwa amani na hadi wale wanaowazunguka muishi nao kwa amani. Boss kwa Mantik hio kama kweli unajua mkeo alikua ni the so called Malaya kubali kua inabidi muhame na mkae makazi ya mbali kabisa... For siamini kabisa kua kuna mwanaume ambae atapenda aonane kila siku zaidi ya wanaume labda wa 4 walowahi lala na Mkeo... Sidhani kwa kweli....
Wa Pili....
Mapenzi ni mchezo wa ajabu saana. Boss mtu kuwa na vigezo vyoote haina maana ndio utampenda... sijui hii nyama ya moyo imeumbwa vipi na roho nayo sijui hutumia vigezo gani kutuongoza katika suala zima la kupenda. Maana ingekua hivo hawa kaka/dada zetu ambao mara nyingi hutoka basi wasingekua wanatoka; maana from observation unaona mtu ana mwenza ana vigezo vyoote but bado hatoka....
Uwanaume;
Nakubaliana kua mara nyingi kuonekana kua a Man is indeed a Man tokana na maamuzi yake... matendo yake.... na attitude yake hasa katika life na yalomzunguka... The above woote waweza onekana wanaume wa kweli; i.e Wa kwanza awe mtu mwenye heshima zake... kaweza mdhibiti the wife kiasi kwamba jammii yoote inaona kabisa the Change in the woman na kotovumilia upuzi wowote ambao Mkewe atafanya in relation na kunukia kwa a new species... hasa tokana na reputation... such a wife atakiwi a-entertain opposite sex kua nae karibu for jamii lazima imzushie... AU akaonekana sio mwanaume kwa kushindwa Mdhibiti.... Wa pili waweza oa Mwanamke mwenye vigezo vyoote but still ushindwe onesha uanaume wako... tena Boss in this case si ndo cheating kwa saana?? na nyie wanaume si ndo mnapenda define kwamba huo ndo uanaume (sijui nani alikuja na hii reasoning but thankfully ina change)
katika maisha mwanaume hutokea ukawa na mtihani wa kufanya maamuzi....
baadhi ya maamuzi yanaweza kukupa heshima au kukuondolea heshima mbela ya jamii...
na tukija kwenye maamuzi kuhusu mapenzi ,ndio kabisaa....wengi wamepata au wamekosa heshima
kwenye macho ya jamii kwa sababu tu ya mapenzi.....
sasa swali hapa ni hili ....upi ni uamuzi wa kiume zaidi......kati ya mambo mawili haya....
1.moja unampenda na umeamua kumuoa mwanamke ambae jamii haimuheshimu sana.labda anaonekana 'malaya'
au anatoka out of your class na kadhalika.....
2.pili...umeamua kumuoa mwanamke mwenye sifa zote ambazo jamii inapenda.....,mzuri,shule ameenda,
ana heshima zote,tabia ni nzuri,kila mtu anakusifia na heshima imeongezeka lakini....'moyo wako haupo kwake kabisaa'
sasa hapo yupi amechukua 'uamuzi wa kiume zaidi'...????
yule anaeoa 'malaya'ambae moyo ndo umempenda.......au anaeoa 'decent one' lakini moyo haupo kabisa
ingawa jamii inafurahia....?????????
maswali hayo sio kila mtu hujiuliza..
mostly watu huangalia vitu viwili...
1..good sex
2.good chemistry...urafiki na kuelewana.....
hapo sasa ni uamuzi wa kijinga,? wengi hawatazammi future.....
ni kuwa anafaa leo,namuoa......full stop.....matumaini kuwa atafaa kwa kila kitu
mapenzi sio siasa.
but wengi wanachagua heshima kuliko kipenda roho....
Mi naangalia wowowo tu awe na heshima mbovu, mvuta bange mimi sijali
Mi naangalia wowowo tu awe na heshima mbovu, mvuta bange mimi sijali
hivi 'kupenda' na kutamani vina sehemu gani kwenye hizi situations 2? nadhani kwenye hizo analysis za mwanamke malaya alizotoa ashadii, hiyo ya 3 ni ya muhimu sana. ni kwa nini alikua malaya? ww the boss, im sure umepitia ugumu na desperate situations where u wanted money. bt dd u resort to robbing? hata kama alikua desperate kupata hela ya chakula na malazi, a decent woman at heart angelala na wanaume 5 akapata mtaji wa kupika maandazi kama sio nauli ya kurudi kijijini kwa bibi yake!
KINGA'STI naona umenielewa kupita maelezo...
kuhusu Wema,mimi ni mmoja ambao 'nilikuwa in love with her since day one'..na katika mamiss tz wote
Wema ndie alienivutia kuliko wote phisically.....but je naweza kumuoa Wema????
HAPANA........
now does that make me a coward??????lol umeona ehhh? je namuona vipi Diamond?namuona jasiri na sio *****
dah! we mkali