tunafanana ila tunatofautiana,usawa kati ya mwanamke na mwanaume haupo!hata wenyewe wanajua,ndo maana wanakauli mbio yao'wanawake tukiwezeshwa tunaweza'huweza kuwa sawa na aliekuwezesha...pia hawawezi kuweka midaho ya wazi na wanaume kuthibitisha kauli yao....