Mwanaume ni Mwanaume tuu

Mwanaume ni Mwanaume tuu

MWANAUME atabaki kama alivyo na atazid kuwa juu ya mwanamke miaka yote kama vitabu vya Dini vinavyosema.
MWANAUME atazid kutongoza wanawake mbka atakaporidhika wa kuwa nao.
Mwanamke hta uwe na hela kiasi gani bila MWANAUME ni bure na bado atataka pesa kwa mwanaume.
MWANAUME siku zote ndo huanzisha mapenzi imara na yakudumu hadi ndoa, mapenzi yanayoanzishwa na wanawake huwa hayadumu.
MWANAUME sikuzote ndo kichwa na mwalimu kwa mwanamke, hta uwe na kiburi,dharau, majivuno mwanaume ni mwalimu wako lazma uende sawasawa.
MWANAUME siku zote ndo huwa na msongo wa mawazo kuhusu maisha na future kuhusu mke na watoto wake, wanawake huwaza future zao na bata tu
Maisha yote ya mwanamke yanamtegema MWANAUME kwahiyo wanawake Tuheshimuni mmetoka kwa ubavu wetu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau hili...

MWANAUME ataendelea kuchunwa. Usipochunwa we si mwanaume
 
Kwa stress nilizonazo leo naji force kucheka hata pasipotakiwa..Ila kijana umeamua kutuwaklisha vyema.Hiv Carleen umefichwa wap now days!? 😁
 
wanaume sisi wenyewe tunajizalilisha kila post facebook inaishia NIFANYAJE inaboa sana

Yan unamkuta kidume anaandika nimeachwa NIFANYAJE

huuuu siiiiii niiiiii uuuusssshhhhoooogggggaaa
 
Kwa stress nilizonazo leo naji force kucheka hata pasipotakiwa..Ila kijana umeamua kutuwaklisha vyema.Hiv Carleen umefichwa wap now days!? 😁
Hahahaha..
I real miss you walaqhi'..! Nafichwa lakini hata nafichika basi my dear..?? Sema Bro naomba nimsemee Eyce ananisimanga sana jamani siishi kwa amani, muulize binti Sayuni wa watu nimemmkosea nini Mimi.??
 
umeona uje unisemee jf kwa kuwa nitaogopa ama 😂😂

Tatizo husikii na huambiliki jezebel's daughter
 
Hahahaa..
We phaller, nimekusemea JF ama nimekusemea kwa kaka yako aliyeko jeifu.???

Mimi na wewe tutakutana duniani, nitakusimanga hata kwa voice note mtseeuuuw'..!
 
Ahahahah..huyu najua jinsi ya kumalizana nae..na yeye anajua.Hilo just consider it done..😂
 
Hahahaa..
We phaller, nimekusemea JF ama nimekusemea kwa kaka yako aliyeko jeifu.???

Mimi na wewe tutakutana duniani, nitakusimanga hata kwa voice note mtseeuuuw'..!

endelea bweka na huezi bite 😂😂😂

Na brother nae umseme anavyobadili username kila baada ya miezi miwili
 
Back
Top Bottom