Mwanaume ni kichwa

Mwanaume ni kichwa

Hapa watakuelewa wanaume wachache sanaaaa. Walio wengi watakuona umeongea pumba wakati ndio ukweli wenyewe huo.

Tuwezesheni jamaani na penye kupewa mahitaji tunayohitaji ikiwezekana pia tupeni.

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Binafsi Yako Huwa Unapewa Hayo Mahitaji......??
 
Umeonaee
Natamani family yangu iwe ya mfano kama Mungu akijaalia!!!!
Mungu ni mwema sana ikiwa umemuomba hitaji la moyo wako.
Mambo muhimu niliyo jifunza kwenye ndoa ni mwanaume kumpenda mkewake, na mwanamke kumtii mumewe.
Na kila mmoja akijiweka kwenye nafasi yake, basi inakua burudani na hapo ndipo ndoa hugeuka na kua Paradiso...[emoji39] [emoji39]
 
Mungu ni mwema sana ikiwa umemuomba hitaji la moyo wako.
Mambo muhimu niliyo jifunza kwenye ndoa ni mwanaume kumpenda mkewake, na mwanamke kumtii mumewe.
Na kila mmoja akijiweka kwenye nafasi yake, basi inakua butudani na hapo ndipo ndoa hugeuka na kua Paradiso...[emoji39] [emoji39]
Amen
 
IMG_20171103_182805.jpg


[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Tuwezesheni jamaani na penye kupewa mahitaji tunayohitaji ikiwezekana pia tupeni.
Mbona huu ni uonevu emmyta ?.

Kwanini tuwawezeshe na si tuwezeshane?. Huoni kuwa hii siyo Final judgement nzuri?. Nadhani kila mmoja katika Ndoa akitimiza wajibu wake basi kila kitu kitakaa sawa.

Kila mmoja awe balozi kwa mwenzi wake. Tatizo kuna utegevu mkubwa sana katika kutimiza majukumu ya kila mmoja wetu. Pia shetani naye amekuwa akimpinga Mungu kwa udi na uvumba huku silaha yake kuu ikiwa ni sisi binadamu.

Pia hii ni dhana ya kiimani sana. Tunapoijadili inabidi tuijadili kwa reference za kiimani na si kwa kutumia mantiki (Logic). Hii dhana tunaipata katika Neno la Mungu na Biblia inafafanua dhana hii ya ukichwa katika andiko la Waefeso 5:22-24: “Wake na wajitiishe kwa waume zao kama kwa Bwana, kwa sababu mume ni kichwa cha mke wake kama vile Kristo pia alivyo kichwa cha kutaniko...

Tungeijadili mada kwa key reference ya Imani kama alivyoandika mleta mada ingefana sana na si kama tunavyotumia Logic katika ujenzi wa hoja zetu.

Mleta mada ahsante kwa kutukumbusha wajibu wetu. Stay blessed.

Karibu tujifunze Emmy, Miss You.
 
Heshima boss luckyline ?.

Mbona nadharia yako ina kasoro?. Kwa nijuavyo mimi "Matumizi ya fedha yalianza kutumika miaka 2000 iliyopita". Je kabla ya hapo Uanaume ulikuwa nini?.

Karibu tupanue uelewa na kujifunza pia.
Kwahiyo mwanaume kichwa? Kichwa cha wapi labda?

Haijalishi ni pesa kiasi gani ila hata zamani pesa ilikuwepo, ndo maana wakati wa kutoa walipeleka ng'ombe badala ya pesa.
 
Kwahiyo mwanaume kichwa? Kichwa cha wapi labda?

Haijalishi ni pesa kiasi gani ila hata zamani pesa ilikuwepo, ndo maana wakati wa kutoa walipeleka ng'ombe badala ya pesa.
Unafahamu etimolojia (yalikozaliwa) maneno "Mwanaume ni kichwa"?.

Unaposema "zamani pesa ilikuwepo" una fasili ipi?. Zamani ni lini kimantiki?.
 
Back
Top Bottom