Mbona nmeilewa mama hata yako nimeilewa ila kwa maisha ya huku mjini security iko kwenye wallet.sasa mie nkienda kukata mamiti kibarazani shamba boy atakula wapi.hizo insticts zenu za kutaka security ni understandable ni animal insticts ziko kwa wanyama wote.sasa ukisema uziendekeze unapoteasoma post ya rebecca huenda ukaelewa
Ahsantr kaka nimefurahi kukuona ndugu yanguHaa haa haa aiseee uzur
Walikua cha salama
Karbu tena kiongoz
Hahahaa. We Kakaaa.Ni vizuri kuheshimu kaz za watu dada yangu.
Sasa mim nkifanya kaz zote si watu watakosa ajira.
Mbona nmeilewa mama hata yako nimeilewa ila kwa maisha ya huku mjini security iko kwenye wallet.sasa mie nkienda kukata mamiti kibarazani shamba boy atakula wapi.hizo insticts zenu za kutaka security ni understandable ni animal insticts ziko kwa wanyama wote.sasa ukisema uziendekeze unapotea
Ki ukweli wali vo vitaja havi mrepresent mwanaume yaan nadhani mwandishi anaongelea mazingira yakeMbona nmeilewa mama hata yako nimeilewa ila kwa maisha ya huku mjini security iko kwenye wallet.sasa mie nkienda kukata mamiti kibarazani shamba boy atakula wapi.hizo insticts zenu za kutaka security ni understandable ni animal insticts ziko kwa wanyama wote.sasa ukisema uziendekeze unapotea
Huyo wa darhahahaha iweke fresh hv;kuna radi ya hapa na pale !basi radi lipige akimbilie kwenye mainswitch mwenzako ataogopa !atamwambia dada wa kazi au wife azime!lol
Kwamba huwezi kua jikoni na kanga moja au vip?Hayo ya khanga moja jikoni hapana hiyo ondoa
Haahh asante kushukuruTunashukuru sana kwakweli
Kama mpo wawili unahofia nini,mi hata bila kanga naingia jikoniJikoni naweza sana lkn mambo ya khanga hapana
Hizi tabia za khanga hapana unaanza kupenda kuvaa nguo za kike kidogo kidogoKama mpo wawili unahofia nini,mi hata bila kanga naingia jikoni
Mama nilishakwambia tabia yakuja kuleta mambo yetu ya ndani humu sio poa ila naona unielewi ok endelea kuvujisha sizina faida kwako?La mwisho mwanaume halisia ni yule anaejua jiografia ya mwanamke... yaan yule anaejua nn anatakiwa kufanya kwenye mwili wa mwanamke(hapa naomba nitie msisitizo kwel kweli)
- Anayejielewa kuwa ni mwanaume sio wa kuonesha misuli kujionesha yeye mwanaume
- Awe yule anayefanya kazi za kiume kwelikweli hata kama ni Boss
- Raha sana kumuona mwanaume ameinama mvunguni au anapiga jeki kutoa tyre(mfano tu )
- Raha sana kuona mwanaume anahudumia mifugo ile ameinama na kaboxer kake kanaonekana ka kiume(awwww) ...Yaan ht mzuka wa kuingia jikoni na kanga moko kumpikia unakuja automatic
- Kuna raha ya ajabu kumuona mwanaume anakata fence ya kuzunguka nyumba yake kale kajasho anakosweat huwa kichocheo ka kupewa game la kimafia kale kajasho ni BOOSTER KUBWA
............sio mwanaume hata kukata muhindi wa kuchoma unashindwa,kubeba kilo 20 za mahndi wewe liulimi lote njee,
POPOTE ULIPO MWANAUME WA AINA HII SHOUT IT OUT TO YOU
UNSPECIFIED
@akiliZaDesperado
Hapa kuna nini swahiba???Leo umeniuzia chapati zimeungua ila maandazi yalikua bomba.Au ile divert ya barabara inasababisha utulivu ma mapishi uvurugike?
Asprin yupo kwenye hili kundi? Sijaona wazee wa viti virefu wakitajwa
Mama nilishakwambia tabia yakuja kuleta mambo yetu ya ndani humu sio poa ila naona unielewi ok endelea kuvujisha sizina faida kwako?
Cc: MBITIYAZA