Mwanaume ndevu bwana

Avae sidiria kwanza....manyonyo yataanguka
 
Asante kwa kuniongezea msamiati mkuu. Mi naskia watu wa mwambao wakiuita Ufagio na unakazi mahususi! Ni zaidi ya pambo...

Watu wa Pwani kila kiungo kina kazi yake maalumu
 
Ndevu hata wamama wanazo hasa wale wa kule kwa kina Mwa.....
 
Hee! Utafikiri ni fufu la nyuki la kutengenezea asali lol

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…