englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Mwanaume naniliu bana
......afu wanaume dizaini hii wanakuwa na vibamia.
kama kidole cha mwisho.
![]()
Unaitwa mujembe
Asante kwa kuniongezea msamiati mkuu. Mi naskia watu wa mwambao wakiuita Ufagio na unakazi mahususi! Ni zaidi ya pambo...
Nimeshindwa kuelewa hapa, mbona hii inafanana na DUSHELELE..!!
Mwanaume dushelele bhana ndevu ht paka anazo.