xuxu meyu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 426
- 370
Mimi binafsi na weza na hata mwaka unaisha
Nenda hospitali au kwa mganga kabisa itakua mkono wa mtu huo kukaa mwaka haki ya nani unaupungufu wa nyege mwilini
Mimi binafsi na weza na hata mwaka unaisha
mmmmh mke... you are trying to blind the audience. wewe ndo unatakaga sana, mpaka ukaamua kunisainisha ratiba ya mara 3 kwa week. nikikubaniaga week mbili tu unahaha mpaka naogopa kumegewa. lol
Unakaa miezi 2 bila kwichikwichi?Mmmmmmmmh!!!!!
Hahhahah, i bet yo praying hard hiyo maratatu izidi maana hapo ndo unapoponea.
Afu wala hakuna cha kuhaha apa ukibana, wasiwasi tuu you might be scr*wing another chick kwa jinsi usivyoweza kuvumilia.
Mimi binafsi na weza na hata mwaka unaisha
Mwanaume anaweza zaidi. Kwa sababu hata Adam alikaa muda mrefu sana bila kufanya mapenzi ingawa yeye na Hawa wote walikuwa wanazurura uchi bustanini mpaka pale Hawa alipovunja ukimiya na kusababisha kugegedwa.
Wanyama labda uwaondolee akili yao ndogo waliyonayo, vinginevyo; wakinusa tu mkojo au ile sehemu basi kwishiney kabisa!.:smile-big:Hakuna, hayo wanaweza wanyama tu
kwakweli my darling, leo ngonja nifungue ya moyoni (though this is our internal issues)... huwa natamani iyo mara3 izidi, i sincerely wish it to a tune of mara5 per week, maana umezidi utamu. LOL. But count yoself a lucky woman coz naweza sana kuvumilia, i will never fix another chick, you deserve no cheat, you have 'all utamu' that i need. hahaha
Ndio maana point yangu nilimalizia kwa kusema "kwa wale ambao wameshaanza mahusiano au wapo kwenye mahusiano" Adam baada ya kuonja papuchi historia iliendeleaje? Alipumzika kugegeda au aliendelea?????
Baada ya ushawishi wa Hawa kwa Adam kufanikiwa siku ile ile alimpa na mimba. Hawa akajifungua watoto mapacha, wa kiume na kike. Hao ndiyo wakaendeleza, tena wa kike ndiyo akasababisha tena. Ila Adam aliacha siku ile ile.
Baada ya ushawishi wa Hawa kwa Adam kufanikiwa siku ile ile alimpa na mimba. Hawa akajifungua watoto mapacha, wa kiume na kike. Hao ndiyo wakaendeleza, tena wa kike ndiyo akasababisha tena. Ila Adam aliacha siku ile ile.